Manchester United ipo sokoni, hatimaye Familia ya Glazer ipo tayari kuiuza

Manchester United ipo sokoni, hatimaye Familia ya Glazer ipo tayari kuiuza

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Inadaiwa kuwa wamiliki hao wanaweza kuiuza klabu hiyo kwa Pauni Bilioni 5 hadi 9 (Tsh. Trilioni 14 hadi 25).

Tayari kampuni kadhaa zimeshateuliwa kufuatilia mchakato huo na kutathimini hali ya soko lilivyo.

Familia hiyo iliinunua United mwaka 2005 lakini imekuwa ikipigiwa kelele na makundi kadhaa ya mashabiki wao timu yao wakiwataka waondoke kwa kuwa umiliki wao hauna faida kwa klabu.


===============-

The Glazer family admit they are ready to SELL Manchester United, saying they will 'evaluate all options' to 'maximise growth' - but they want at least £5bn… and may demand as much as £9BILLION!

The Glazer family are ready to sell Manchester United and will listen to offers in excess of £5billion, it has emerged.

United confirmed the sensational news that the world's biggest football club is effectively for sale in a statement issued at 9.30pm on Tuesday night.

The Raine Group and Rothschild and Co have been appointed as exclusive financial advisors to oversee the process. United said it is designed to enhance future growth, but added that the club 'will consider all strategic alternatives, including new investment into the club, a sale, or other transactions'.

A statement from co-chairmen Avram and Joel Glazer read: 'The strength of Manchester United rests on the passion and loyalty of our global community of 1.1bn fans and followers.

'As we seek to continue building on the club's history of success, the board has authorised a thorough evaluation of strategic alternatives.

'We will evaluate all options to ensure that we best serve our fans and that Manchester United maximizes the significant growth opportunities available to the club today and in the future.'

The hated American owners have been in power at Old Trafford since 2005. However, they have come under pressure from fan groups for some time to end their 17-year reign which has been criticised from the outset over the leveraged £790million purchase which heaped huge debt on United.

It's thought that an offer in excess of £5bn - and possibly as high as £9bn - would persuade them to sell up.

Source: DailyMail
 
Kama walikuwa wanatoa pesa ya Usajiri Hadi £200m+ kwa dirisha moja, Ni upuuzi wa Makocha na skauti wenyewe .

Hawa wamiliki Wana matatizo yao, Lakini kwenye swala la ku spend ,dirisha lililopita tu wametoa £250m

Ndan ya miaka 10 wametumia karibu £1B kwenye usajiri wakikimbizana au kumzidi Cytizen

Hata Tajiri wa Chelsea wa Sasa amespend pesa kwa dirisha moja £300m pesa ambayo hata Roman hajawahi kuitoa kwa dirisha moja.,ila timu inacheza Kama chandimu
 
Hahahahaha, market capitalization of the club on the NYSE was $2.15bn on Tuesday, but the Americans will demand between $5-9bn
 
kwahio unataka kusema tatizo lipo wap mkuu
Tatizo Ni kubwa kuliko huyo Grazzer ,pia man u hawajui wanataka Nini

Kuna uwezekano wakaja kumkumbuka Grazzer ,maana kwenye soka Ni wamiliki wachache Sana wanaotoa £200m+ kwa dirisha moja,
 
Nchi yetu inunue hiyo team na mapato yatikanayo na hiyo team yatumike kulipa mikopo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo la Man Utd sio spennding, ni moja ya timu zinazospend pesa nyingi zaid ulimwenguni. Tatizo lipo kwenye vipi wana spend. Hilo ni tatizo sugu kwa timu nyingi za Kiengereza, wanakosa ma director sahihi wa kusimamia timu na zaidi kwenye transfers.
 
Back
Top Bottom