Manchester united kafa mbele ya Liverpool, Salaah kashika rekodi hii

Manchester united kafa mbele ya Liverpool, Salaah kashika rekodi hii

Movic Evara

Senior Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
197
Reaction score
431
The Egyptian King 👑 🔥

Mohamed Salah amehusika kwenye magoli (17) dhidi ya Manchester United, kuliko mchezaji yoyote katika historia 💥

➜ 11 - Magoli aliyowafunga.
➜ 06 - Assists alizotoa.

Full - Man United 0 - 3 Liverpool

⚽️ Luis Diaz ›› 🅰️ Salah — 35'
⚽ Luis Diaz ›› 🅰️ Salah — 42’
⚽️ Salah — 56’

ℹ️ Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1995, Chelsea dhidi ya Crystal Palace (EPL) mechi imemalizika kwa sare !! Ni sare ya kwanza ladies and gentlemen 🙌😀

➜ 28 - Mechi
➜ 01 - Sare.

Full - Chelsea 1 - 1 Crystal Palace.

NB : Salah na Manchester United wamalize tofauti zao mapema, huenda akafunga mabao (20) dhidi ya nyumbu 😀

Tom Cruz facts 🧠
 
Chelsea ss pmj na kuwa na hawa wachezaji wamejaa ktk basi lkn hkn ktu
FB_IMG_1724329401630.jpg
 
Man u sasa inaitwa limama, so kila mtu analikomoa
 
Back
Top Bottom