Manchester united kafa mbele ya Liverpool, Salaah kashika rekodi hii

Movic Evara

Senior Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
197
Reaction score
431
The Egyptian King πŸ‘‘ πŸ”₯

Mohamed Salah amehusika kwenye magoli (17) dhidi ya Manchester United, kuliko mchezaji yoyote katika historia πŸ’₯

➜ 11 - Magoli aliyowafunga.
➜ 06 - Assists alizotoa.

Full - Man United 0 - 3 Liverpool

⚽️ Luis Diaz β€Ίβ€Ί πŸ…°οΈ Salah β€” 35'
⚽ Luis Diaz β€Ίβ€Ί πŸ…°οΈ Salah β€” 42’
⚽️ Salah β€” 56’

ℹ️ Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1995, Chelsea dhidi ya Crystal Palace (EPL) mechi imemalizika kwa sare !! Ni sare ya kwanza ladies and gentlemen πŸ™ŒπŸ˜€

➜ 28 - Mechi
➜ 01 - Sare.

Full - Chelsea 1 - 1 Crystal Palace.

NB : Salah na Manchester United wamalize tofauti zao mapema, huenda akafunga mabao (20) dhidi ya nyumbu πŸ˜€

Tom Cruz facts 🧠
 
Chelsea ss pmj na kuwa na hawa wachezaji wamejaa ktk basi lkn hkn ktu
 
Your browser is not able to display this video.
 
Man u sasa inaitwa limama, so kila mtu analikomoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…