Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kuanza kuonekana Kwa ligi ya Uingereza hapa nchini kulikuja wakati Manchester United ikiwa kwenye kilele Cha mafanikio.
Enzi za kina Dwight Yorke na mwenzake Andy Cole mpaka zama za kina David Beckham, ligi ya Uingereza ilikuwa na mashabiki wengi sana Tanzania.
Lakini baada ya kuondoka Kwa Sir. Alex Ferguson, na Manchester United kugeuka kichwa Cha mwendawazimu, ligi hiyo imepoteza mashabiki hapa Bongo.
Mashabiki wa Man U walikuwa wanawacheka.mashabiki wa Arsenal kwa kuwa wavumilivu timu yao kutokuchukua Kombe lolote kwa muda mrefu.
Sasa imethibitika pasi. na shaka kumbe mashabiki wa Man U hapa bongo hawana uvumilivu. Siku hizi zile tambo zao na kufurika kwenye vibandaumiza, hakuonekani tena.