Manchester United ndiyo umefanya watanzanIa waache kuangalia ligi ya Uingereza

Manchester United ndiyo umefanya watanzanIa waache kuangalia ligi ya Uingereza

Tatizo yule mzee alikuwa na mbinu nyingi nje ya uwanja ndio maana watangulizi wake wanapata tabu.
 
Bila arsene wenger kwenda epl,epl isingekua vile,ile rivalry ya wenger na ferguson ilikua na afya sana kwa epl
 
Kuanza kuonekana Kwa ligi ya Uingereza hapa nchini kulikuja wakati Manchester United ikiwa kwenye kilele Cha mafanikio.

Enzi za kina Dwight Yorke na mwenzake Andy Cole mpaka zama za kina David Beckham, ligi ya Uingereza ilikuwa na mashabiki wengi sana Tanzania.

Lakini baada ya kuondoka Kwa Sir. Alex Ferguson, na Manchester United kugeuka kichwa Cha mwendawazimu, ligi hiyo imepoteza mashabiki hapa Bongo.

Mashabiki wa Man U walikuwa wanawacheka.mashabiki wa Arsenal kwa kuwa wavumilivu timu yao kutokuchukua Kombe lolote kwa muda mrefu.

Sasa imethibitika pasi. na shaka kumbe mashabiki wa Man U hapa bongo hawana uvumilivu. Siku hizi zile tambo zao na kufurika kwenye vibandaumiza, hakuonekani tena.
Si kweli wewe ndio huangalii vijana wa zama hizi wengi ni wapenzi wa filamu na mapenzi sio watu wa ball!
 
Umesema vyema

Kuna kipindi mashabiki wa Liverpool walikuwa watu wazima tu ulikuwa hukuti madogo wakishabikia Liverpool kwa sababu kwa miaka mingi haikufanya vizuri ikashindwa kutengeneza fans wachanga wapya katika fan base yake ndicho kinaipata Man U kwa sasa
Nilikuwa shabiki wa man miaka ya 2000 Liverpool ni wazee watu qazima pale ilala.


Banda lako kama hutaonyesha man u hupati wateja
 
Nilikuwa shabiki wa man miaka ya 2000 Liverpool ni wazee watu qazima pale ilala.


Banda lako kama hutaonyesha man u hupati wateja
Kwa hiyo wenye mabanda umiza wanategemea tu mechi za Man U mkuu
 
Back
Top Bottom