Manchester United ndiyo umefanya watanzanIa waache kuangalia ligi ya Uingereza

Tatizo yule mzee alikuwa na mbinu nyingi nje ya uwanja ndio maana watangulizi wake wanapata tabu.
 
Bila arsene wenger kwenda epl,epl isingekua vile,ile rivalry ya wenger na ferguson ilikua na afya sana kwa epl
 
Si kweli wewe ndio huangalii vijana wa zama hizi wengi ni wapenzi wa filamu na mapenzi sio watu wa ball!
 
Nilikuwa shabiki wa man miaka ya 2000 Liverpool ni wazee watu qazima pale ilala.

Banda lako kama hutaonyesha man u hupati wateja
 
Nilikuwa shabiki wa man miaka ya 2000 Liverpool ni wazee watu qazima pale ilala.

Banda lako kama hutaonyesha man u hupati wateja
Kwa hiyo wenye mabanda umiza wanategemea tu mechi za Man U mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…