Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Hapo ndo mnapokoseaNaheshimu maoni yako ila ubora unapimwa na mafanikio ya makombe.
Ajikite kwenye netball 😂Jikite kwenye michezo mingine mpira hujui.
Nitajie mchezaji wa Madrid anayemzidi Bruno FernandesMtaalamu unataka kuwa mganga wa kienyeji nini🤣😂 kwamba man u wana wachezaji bora zaidi ya carvajal, rudiger, camavinga, kroos, modric, Bellingham, velverde, vini, kisha 10hag ni bora zaidi ya don carlo.
Kasikilize ngoma ya mista ebo, sitaki tena pombe.
utoto raha sana...chochote kinachowajia kichwani wanasemaga tu na huna cha kumwambia coz ni watotoMbali na Real Madrid kuchukua kombe msimu huu kutokana na kuwa na bahati tu ila ukija kwenye ubora wa timu basi Manchester United ni zaidi ya Madrid
Kwakuangalia uwezo wa nchezaji mmoja mmoja kati ya United na Madrid utagundua kuwa Manchester United wana qualities player kuliko Real Madrid
Pia kwenye ishu ya management United wako vizuri kuliko Real Madrid
Chukua hii na ukae kitaalamu