Daaah kocha hana phase km za arsenal....safiRúben Amorim on winning the league:
I hear a lot of people saying it would take 4 to 5 years for United to win the league. It's won't take me that long. I have the Aura to win games before it starts. Let's see if I can win it this year. If not, I will win it next year.
Ruben amorim amekuja kumnyoosha kipara wa mancity.Huyu jamaa natamani sana afanikiwe mapema maana sio kwa kuongea uko. Pep alianza ligi na wachezaji alioachiwa watu wakawa wanajipigia tu hadi alipopewa watu wake ndio akaanza kushinda mechi wakati anavuta cigar.
Na iwe hivyo. Huyu naye akipoteana, naachana na hii timu mazima.Ruben amorim amekuja kumnyoosha kipara wa mancity.
Akipoteana option ya mwisho ni Hansi flick. 😁Na iwe hivyo. Huyu naye akipoteana, naachana na hii timu mazima.
Timu yetu mkuu, mimi mwenyewe naona nitapumzika kuishabikia.Na iwe hivyo. Huyu naye akipoteana, naachana na hii timu mazima.
Kauli ya kishujaa sana hiiRúben Amorim on winning the league:
I hear a lot of people saying it would take 4 to 5 years for United to win the league. It's won't take me that long. I have the Aura to win games before it starts. Let's see if I can win it this year. If not, I will win it next year.
Hapa kwenye physical aspect na ku-track back amesema kweli ambayo kila shabiki wa United anaiona kila siku kwenye mechi zetu. Lakini 10Hag yeye alikuwa anajali kushinda carabao tu mwisho wa msimu.[emoji599][emoji599][emoji2424]| Rúben Amorim: "We have space to grow as a team, and we need to improve in a lot of areas. We are changing in the middle of the season with a different way of playing. We need to improve the physical aspect of the team."
Yule jamaa alikuwa mwanasiasa sio kocha. huyu wa sasa anaongea vitu vina make sense na sio matumaini hewa.Hapa kwenye physical aspect na ku-track back amesema kweli ambayo kila shabiki wa United anaiona kila siku kwenye mechi zetu. Lakini 10Hag yeye alikuwa anajali kushinda carabao tu mwisho wa msimu.