[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuliko kuisema Man U kuna mambo mengi ya kimaendeleo tunaweza kuyafanya, mfano tu wengi wenu humu hamjui kutengeneza juisi ya Ukwaju, kwanini msitumie muda huu kupata huo ujuzi?
Glasi moja ni jero, haya ukiuza ndoo nzima utashindwa kujenga?
 
Ndio ndio kaka wape za uso
 
Touches in opposition box
Arsenal 36 - 6 United

Big chances created
Arsenal 5-0 United

Goal attempt
Arsenal 14-5 United

Shot on target
Arsenal 6-2 United

Corner kicks
Arsenal 13-0 United

XG
Arsenal 2.33 - 0.31 United

But guess who "played like Tony Pulis"

Lmao 😂 😂😂
 
Manjesta bhana waliingia kwenye box la Arsenal mara 6 tu ndani ya dk 94

Hii ni record toka mwaka 2017 ambapo manjesta waliingia mara chache kwenye box la mpinzani,ilikuwa dhidi ya Arsenal

Yaani kila baada ya dk 15 ndio manjesta wanafika mara moja kwenye box la Arsenal

Ni timu ambayo Kwenye usajili imetumia zaidi ya €200m
 
Karibu tena mwamba!! maana flano alishaanza kunenepa
 
Hivi Ile mechi ya Liverpool msimu wa 2021/22 waliyopigwa 4-0 Anfield waliingia langoni Mara ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…