Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Mi wanachonichekesha mashabiki wa nyumbu dunia nzima wakishinda mechi wanasahau kila kitu wanaanza kuwahype wachezaji wao.

Mara Hojlund anahojiwa anakuambia mi napenda back 3 ndiyo inanifaa. Wakati uingereza ukicheza back 3 inabidi uwe physical haswa ili usifumwe out of position, Hakika Ruben hajui hilo anadhani yupo Ureno

Selikavu kazi ya kuivuka mitihani inawashinda hadi siku muifikie Arsenal mpo hoi.
Ngoja tuingie sokoni January
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Amoxicillin atapigwa Hadi akimbie hii ligi

Hii timu Bora angeachiwa Rudi banistroi

Banistroi alikuwa anatumia 4-2-3-1 akawa anatembea vzr tu,

Kaletwa huyu muhindi analeta mambo ya 3-4-3, Je manjesta yanited Ina profile za hao wachezaji wakucheza 3-4-3?

Manjesta Ina wachezaji wanaweza kusafa muda wote,?

3-4-3 inahitaji wachezaji wawe kama punda , sasa manjesta Ina wala urojo kina Anthony Santos makudubela,MBE markosi Rashidi mpemba, Garnacho mrithi halali wa Mbuzi wa mchongo Cr7,

Ni mapema kumjaji kocha wenu Muhindi Amoxicillin, lakini asipotulia EPL itamtoa kamasi

EPL kila mtu kambale
 
Jana Tumeuza ramani kwa washikaji zetu N. Forest
IMG-20241208-WA0011.jpg
 
Wametengeneza mabango ya kuadhimisha kifo che legend wao nikadhani hata yatakua na aibu yatajishikilia kumbe haya ni mlenda kabisa
 
[emoji599] Confirmed: Arsenal will face Manchester United at the Emirates Stadium in the FA Cup third round on Sunday, 12 January at 3pm (UK time), live on BBC. [emoji736][emoji342]p

Mnakuja tena geto
Hii ndio tunawapiga mkono sasa
Oyaa Waoneeni huruma hata kidogo mazee
Hao watu wanatakiwa tuwaweke kwenye special group,tuwapende, tusiwanyanyase!!
 
[emoji599] Confirmed: Arsenal will face Manchester United at the Emirates Stadium in the FA Cup third round on Sunday, 12 January at 3pm (UK time), live on BBC. [emoji736][emoji342]p

Mnakuja tena geto
Hii ndio tunawapiga mkono sasa
Tena yote tunapiga vichwa tu
Ni waaa!...
 
Mfafukuza makocha mara ma sporting director ila kama golini yupo Onana basi mtaendelea kuumia kenge nyie. Tafuteni kipa wa kueleweka.
 
Back
Top Bottom