Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Goli la uzembe wa mabeki. Wazee chukueni hii mashine ya ulinzi itawasaidia sana. Kwa sasa imepaki garage ni ya kuifanyia service kidogo tuu

images (1).jpeg
 
Wamepewa woooooote tena bure ila nyie mmenyiwa 😂😂

Inauma hiyooooooooooooooo 😭
 
Umbwa kabisa nyie mmetuuzia scraper kwa pesa za kusajili mchezaji mwenye Ballon d'Or.
Chukueni chezaji lenu mturudishie japo nusu ya pesa yetu matapeli wakubwa nyie.
Tunataka mpaka ashindwe kucheza ht kwa dkk moja ndio itakuwa furaha yetu imetimia, leo alivyoanza roho imeniuma sana 😂
 
Man City amegawa bure tena kwa wanaume wengi ila nyie mnauziwa tena kwa mahari huku mkidhani ni bikra 😂
 
Samahani wazee MOUNT kapata tatizo la kiufundi, mifumo mwilini imeshindwa kusomana, ila ni mashine ya kazi msisite kutuongezea pesa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mmamae mkatudanganya Freemason ni version mpya ya Christiano Ronaldo na kwenye mkataba mkatulazimisha tumpe jezi namba 7 wajaa laana nyie.
 
Huyu kocha wenu kwenye hii ligi ya Uingereza ata chuchumaa sana mwisho wa siku atajinyea.
 
Back
Top Bottom