Hii timu tukutane nayo championships msimu ujao
 
Wamepewa woooooote tena bure ila nyie mmenyiwa πŸ˜‚πŸ˜‚

Inauma hiyooooooooooooooo 😭
 
Umbwa kabisa nyie mmetuuzia scraper kwa pesa za kusajili mchezaji mwenye Ballon d'Or.
Chukueni chezaji lenu mturudishie japo nusu ya pesa yetu matapeli wakubwa nyie.
Tunataka mpaka ashindwe kucheza ht kwa dkk moja ndio itakuwa furaha yetu imetimia, leo alivyoanza roho imeniuma sana πŸ˜‚
 
Man City amegawa bure tena kwa wanaume wengi ila nyie mnauziwa tena kwa mahari huku mkidhani ni bikra πŸ˜‚
 
Samahani wazee MOUNT kapata tatizo la kiufundi, mifumo mwilini imeshindwa kusomana, ila ni mashine ya kazi msisite kutuongezea pesa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mmamae mkatudanganya Freemason ni version mpya ya Christiano Ronaldo na kwenye mkataba mkatulazimisha tumpe jezi namba 7 wajaa laana nyie.
 
Huyu kocha wenu kwenye hii ligi ya Uingereza ata chuchumaa sana mwisho wa siku atajinyea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…