Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Huyu Pep aongeze mkataba mrefu wa kutosha pale City, naona wapinzani wake EPL wameanza kumjulia namna ya kucheza naye.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila mashabiki wa Man Utd tuna shida sana, yaani allypipi leo katembea tokea Manzese mpaka Kariakoo na paja la mbuzi mkononi[emoji16][emoji16][emoji16]
1734360788995.jpg
1734360737594.jpg
 
Jana tulikuwa na moment kadhaa za intensity za kuutaka mpira Kwa nguvu na Kwa haraka sana, hii ni ishara nzuri. Kwa jinsi system ilivyo Inahitaji kujitoa sana, kama umezoea kucheza nusu uwanja basi pole sana, Kwa jinsi back three zinavvyofanya kazi lazima timu nzima muwe tayari kukimbizana. Tunatakiwa misimu miwili mbele timu iwe na intensity ya Hali ya juu Kwa maeneo yote.

Lazima tuongeze kiungo ya kazi kweli kweli wa kusaidiana na Ugarte, huyu punda (ugarte) anakimbia na fiziki yake ipo vizuri, asije akaumia kipindi hichi tutakuwa exposed sana kwani Bado hatujajipata.

Mount anafaa kabisa Kwa system ya jamaa, kitakachomuua ni majeruhi tu daah. Tunahitaji kiungo mkali wa kusaidia pale kati. Muda huu ni wa kuwakimbiza wachezaji na kuhakikisha wanasuffer kweli kweli Ili tuondoe wachovu na wavivu wote watakao kuwa exposed na hii system.

Kwa system ya jamaa ni rahisi kujua wachovu ni akina nani maana unawaona kirahisi in training na kwenye game, tukiingia sokoni unajua kabisa huyu Kwa system yetu hatufai. Hatutaki wachezaji makobe na wavivu.
 
Manjesta bhana waliingia kwenye box la Arsenal mara 6 tu ndani ya dk 94

Hii ni record toka mwaka 2017 ambapo manjesta waliingia mara chache kwenye box la mpinzani,ilikuwa dhidi ya Arsenal

Yaani kila baada ya dk 15 ndio manjesta wanafika mara moja kwenye box la Arsenal

Ni timu ambayo Kwenye usajili imetumia zaidi ya €200m
Wazee wa kukalia tawi, Chelsea washakuacha huko
 
Jana tulikuwa na moment kadhaa za intensity za kuutaka mpira Kwa nguvu na Kwa haraka sana, hii ni ishara nzuri. Kwa jinsi system ilivyo Inahitaji kujitoa sana, kama umezoea kucheza nusu uwanja basi pole sana, Kwa jinsi back three zinavvyofanya kazi lazima timu nzima muwe tayari kukimbizana. Tunatakiwa misimu miwili mbele timu iwe na intensity ya Hali ya juu Kwa maeneo yote.

Lazima tuongeze kiungo ya kazi kweli kweli wa kusaidiana na Ugarte, huyu punda (ugarte) anakimbia na fiziki yake ipo vizuri, asije akaumia kipindi hichi tutakuwa exposed sana kwani Bado hatujajipata.

Mount anafaa kabisa Kwa system ya jamaa, kitakachomuua ni majeruhi tu daah. Tunahitaji kiungo mkali wa kusaidia pale kati. Muda huu ni wa kuwakimbiza wachezaji na kuhakikisha wanasuffer kweli kweli Ili tuondoe wachovu na wavivu wote watakao kuwa exposed na hii system.

Kwa system ya jamaa ni rahisi kujua wachovu ni akina nani maana unawaona kirahisi in training na kwenye game, tukiingia sokoni unajua kabisa huyu Kwa system yetu hatufai. Hatutaki wachezaji makobe na wavivu.
Dalot,kobie gernacho rasshford washaanza kutema bungo🤣🤣
 
Nyambafu gape langu na wazee wa tawi ni points 8 tu, soon nakukuta jiandae 😂
Huna uwezo,wewe utabaki nafasi ya 13-18

Na ukikutana na Mimi nakubonda ,

Natamani nipangiwe na wewe kila siku🤣🤣
 
Huna uwezo,wewe utabaki nafasi ya 13-18

Na ukikutana na Mimi nakubonda ,

Natamani nipangiwe na wewe kila siku🤣🤣
Tunakutana FA hapo keshokutwa, mwakani Arteta kibarua lazima kiruke 😂
 
Alejandro Garnacho wins the 2024 FIFA Puskás Award 🚲

🎙️ Alejandro Garnacho: “I'm happy to win this award. It's a proud moment for me and my family. Thanks to everyone who voted for me, especially the United fans. It was a great finish.
IMG_20241217_202930_610.jpg
 
Kila mtu mwenye uhuru wa kufikiri alijua tatizo la man utd linaanzia kwa Rashford, Kama Amorin atakuwa bold enough kumuondoa kikosini au hata kumpiga bench, he deserves my respect for that.
Mkuu naona kocha kashaliona tatizo na tatizo nalo linataka kuondoka, Itakuwa vyema kwa klabu yetu endapo litaondoka kweli.
 
Back
Top Bottom