Hakuna wa kutupiga hapa.Daaah. Hata nyie mmeweza kumpiga Man C115y? Kweli hakuna haki duniani. Ila hongereni. Sasa mrudi kwenye maisha mliyozoea ya kupigwa na kila mtu.
😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila mshabiki wa Man Utd tuna shida sana, yaani allypipi leo katembea tokea Manzese mpaka Kariakoo na paja la mbuzi mkononi[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 3178112View attachment 3178113
Wazee wa kukalia tawi, Chelsea washakuacha hukoManjesta bhana waliingia kwenye box la Arsenal mara 6 tu ndani ya dk 94
Hii ni record toka mwaka 2017 ambapo manjesta waliingia mara chache kwenye box la mpinzani,ilikuwa dhidi ya Arsenal
Yaani kila baada ya dk 15 ndio manjesta wanafika mara moja kwenye box la Arsenal
Ni timu ambayo Kwenye usajili imetumia zaidi ya €200m
Wewe manjesta unagombea kushuka daraja🤣🤣🤣Wazee wa kukalia tawi, Chelsea washakuacha huko
Dalot,kobie gernacho rasshford washaanza kutema bungo🤣🤣Jana tulikuwa na moment kadhaa za intensity za kuutaka mpira Kwa nguvu na Kwa haraka sana, hii ni ishara nzuri. Kwa jinsi system ilivyo Inahitaji kujitoa sana, kama umezoea kucheza nusu uwanja basi pole sana, Kwa jinsi back three zinavvyofanya kazi lazima timu nzima muwe tayari kukimbizana. Tunatakiwa misimu miwili mbele timu iwe na intensity ya Hali ya juu Kwa maeneo yote.
Lazima tuongeze kiungo ya kazi kweli kweli wa kusaidiana na Ugarte, huyu punda (ugarte) anakimbia na fiziki yake ipo vizuri, asije akaumia kipindi hichi tutakuwa exposed sana kwani Bado hatujajipata.
Mount anafaa kabisa Kwa system ya jamaa, kitakachomuua ni majeruhi tu daah. Tunahitaji kiungo mkali wa kusaidia pale kati. Muda huu ni wa kuwakimbiza wachezaji na kuhakikisha wanasuffer kweli kweli Ili tuondoe wachovu na wavivu wote watakao kuwa exposed na hii system.
Kwa system ya jamaa ni rahisi kujua wachovu ni akina nani maana unawaona kirahisi in training na kwenye game, tukiingia sokoni unajua kabisa huyu Kwa system yetu hatufai. Hatutaki wachezaji makobe na wavivu.
Nyambafu gape langu na wazee wa tawi ni points 8 tu, soon nakukuta jiandae 😂Wewe manjesta unagombea kushuka daraja🤣🤣🤣
Pumbaff kabisa ,
Chelsea anajua kabisa hana pumzi
Huna uwezo,wewe utabaki nafasi ya 13-18Nyambafu gape langu na wazee wa tawi ni points 8 tu, soon nakukuta jiandae 😂
🤣🤣🤣 Wewe wakuongea hivyoWewe manjesta unagombea kushuka daraja🤣🤣🤣
Pumbaff kabisa ,
Chelsea anajua kabisa hana pumzi
Tunakutana FA hapo keshokutwa, mwakani Arteta kibarua lazima kiruke 😂Huna uwezo,wewe utabaki nafasi ya 13-18
Na ukikutana na Mimi nakubonda ,
Natamani nipangiwe na wewe kila siku🤣🤣
Sasa huyu city mzee si kalambwa mpaka na bournemouth..ngoja timu zetu zinafuata baada ya mechi ya city🤣We kama unaona mancity kaonewa leta timu yako
Mkuu naona kocha kashaliona tatizo na tatizo nalo linataka kuondoka, Itakuwa vyema kwa klabu yetu endapo litaondoka kweli.Kila mtu mwenye uhuru wa kufikiri alijua tatizo la man utd linaanzia kwa Rashford, Kama Amorin atakuwa bold enough kumuondoa kikosini au hata kumpiga bench, he deserves my respect for that.