Mkuu naona kocha kashaliona tatizo na tatizo nalo linataka kuondoka, Itakuwa vyema kwa klabu yetu endapo litaondoka kweli.
Rashford na garnacho zile ni talent asiache ziende kizembe,atafute mfumo wa kuwafit
Mkuu naona kocha kashaliona tatizo na tatizo nalo linataka kuondoka, Itakuwa vyema kwa klabu yetu endapo litaondoka kweli.
 
Leo yule mkorea macho madogo atakuwa anapitia kwa ile bek mbovu dalot 🤣🤣🤣

Son anaondoka na mpira

Jogo tasa 4-1 mashetan
 
Leo kidogo naona boli linatembea,second half tunaenda kupiga come back nyingine tena..Dialo na Garna watahusika katika magoli yatakayopatikana
 
Ukiwakuta nyuzi za wanaume na utumbo wanaoandika sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…