Kwahiyo tubadili sheria za mpira iwe dk 100 πUnited angepewa dk 14 mbele spars alikua analia
90+extr 7+14 =100+π€£π€£π€£United angepewa dk 14 mbele spars alikua analia
iko wazTaratibu tutaingia kwenye mchezo, Bora ufungwe lakini uonekane timu inajaribu kutafuta kitu gani, wachezaji wetu wote walianza chini kabisa, sijui hawakuwa na mood ama vipi. Mmeona Sasa Kuna wachezaji taratibu utawaona hamna kitu lakini kipindi cha ETH walidekezwa...Sasa hivi tutakuwa direct kutafuta wachezaji watakaofaa na huu mfumo, quality unazihesabu Sasa hivi, hii ni ishara nzuri kwetu.
Ndio maana wanaitwa manyumbu, watu wasiojua mpira ndio watA shangilia yale magoli. Kwa yale magoli waliofunga hawana timu na hakuna improvements zote zote pale.Sielewi mnachoshangilia ni nini π π
Magoli yote yamefungwa kwa miscalculations za kipa wa spurs hakuna goli lililotokana na move wala created chances. Halafu mtu anakwambia sasa hivi tuko vizuri π π
Subirini disappointments punda kabisa
tuanze na nunezTafuteni makipa wa kueleweka, Onana mumuuze, ganacho na rashfod, dalot, wote hao muwauze na Antony piga bei. Yule Amad Dialo hakuna mchezaji mule anapita na upepo tu na ni swala la muda mtakuja kushituka
Kuna banda umiza moja huku mashabiki wa nyumbu wanamuita messi mweusi dah ...messi mwenyewe akisikia sijui atajisikiajeπ€£Tafuteni makipa wa kueleweka, Onana mumuuze, ganacho na rashfod, dalot, wote hao muwauze na Antony piga bei. Yule Amad Dialo hakuna mchezaji mule anapita na upepo tu na ni swala la muda mtakuja kushituka