Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Rates za katimu kenu dhidi ya wachovu
Screenshot_2024-12-20-00-58-35-660_com.mobilefootie.wc2010-edit.jpg
 
Taratibu tutaingia kwenye mchezo, Bora ufungwe lakini uonekane timu inajaribu kutafuta kitu gani, wachezaji wetu wote walianza chini kabisa, sijui hawakuwa na mood ama vipi. Mmeona Sasa Kuna wachezaji taratibu utawaona hamna kitu lakini kipindi cha ETH walidekezwa...Sasa hivi tutakuwa direct kutafuta wachezaji watakaofaa na huu mfumo, quality unazihesabu Sasa hivi, hii ni ishara nzuri kwetu.
 
ik

iko waz
 
Sielewi mnachoshangilia ni nini 😅😅

Magoli yote yamefungwa kwa miscalculations za kipa wa spurs hakuna goli lililotokana na move wala created chances. Halafu mtu anakwambia sasa hivi tuko vizuri 😅😅

Subirini disappointments punda kabisa
 
Ndio maana wanaitwa manyumbu, watu wasiojua mpira ndio watA shangilia yale magoli. Kwa yale magoli waliofunga hawana timu na hakuna improvements zote zote pale.
 
Tafuteni makipa wa kueleweka, Onana mumuuze, ganacho na rashfod, dalot, wote hao muwauze na Antony piga bei. Yule Amad Dialo hakuna mchezaji mule anapita na upepo tu na ni swala la muda mtakuja kushituka
 
tuanze na nunez
 
Kuna banda umiza moja huku mashabiki wa nyumbu wanamuita messi mweusi dah ...messi mwenyewe akisikia sijui atajisikiaje🤣
 
Back
Top Bottom