Poleni sana kwa uvamizi wa panya. Panya huwa wanatesa sana, nawashauri muongeze usafi pale matofalini. Vilevile naendelea kuwasisitiza kuwa tafuteni kipa wa kueleweka.
Hawa ni wachafu wachafu tu wa asili. Mara ya mwisho uliyoona nyumbu msafi ni lini?
 
Hamis wewe ndo Flano wa unyumbuni. Kule kwetu huonekani ila huku wanakuona mpaka wanakukimbia [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli a.k.a Kasongo kule akitia tu shingo watu wanaondoka na kichwa yake.
Kule Kuna wananchi wenye hasira kali wamebeba masime, shoka, mundu na mabaleshi wanamsubiria kwa hamu sana, yeye mwenyewe analitambua hilo ndio maana kule hakanyagi hata apewe ulinzi wa efefyu fuso mbili.
 
Kikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys hiki hapa.

Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁

my prediction

Wolves 1 vs Manchester United 3

Here we Come
Tutapiga kama ngoma hawa watoto.
 
Watu walisema na watasema tena, tatizo la man u ni wachezaji, wachezaji, wachezaji. Haswa english players, ni wa kuondoa
ZIRKZEE sio muingereza, lakini ni mjinga kweli kweli.
Yaani tuliondoa mvivu MARTIAL tumeleta tena mvivu ZIRKZEE.
 
Leo ushindi nje nje. Hii ndio 1st eleven ya ukweli. GARNACHO ni mzuri sana lakini ukimuanzishia benchi na yeye anakufanyia uhuni, hapambani.
 
Leo ushindi nje nje. Hii ndio 1st eleven ya ukweli. GARNACHO ni mzuri sana lakini ukimuanzishia benchi na yeye anakufanyia uhuni, hapambani.
hako katoto n hyped player
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…