HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 2,952
- 5,583
Hawa ni wachafu wachafu tu wa asili. Mara ya mwisho uliyoona nyumbu msafi ni lini?Poleni sana kwa uvamizi wa panya. Panya huwa wanatesa sana, nawashauri muongeze usafi pale matofalini. Vilevile naendelea kuwasisitiza kuwa tafuteni kipa wa kueleweka.