Aisee wazee wa mashetani hamna timu jamani kha!
Midfield ya hawa wakina maino hamna kitu.
 
Kipindi cha kwanza timu zote mbili zinagongana gongana tu

Nyumbu hamna timu, inabidi mfumue kikosi kizima mazraoui, yoro, dalot and likes hawakupaswa ata kuwa sub. Ajabu wao ndio starting 11 panga pangua
 
Inawezekana kweli hamna timu (wachezaji wabovu) ila napata shida kuona mifumo, falsafa na tactics za huyu amorim

7+3 hag mlisema ni gang gang football

Huyu muhindi vipi? Tueleweshen majiran
 
Tafuteni wachezaji wa kueleweka anzeni na kipa na captain wenu hawana hadhi ya kucheza hata championship
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…