Jumatano ijayo Dirisha linafunguliwa,
Wachezaji wafuatao muwauze siku hiyo hiyo
ONANA
MAINO
BRUNO
GARNACHO
DIALO
ANTONY
HOJLUND
ZIRKEE
RASHFORD

Hawa ndio wa kuuza nyie mmekalia kufukuza kazi wapishi . By the way mkija Anfield msije na Onana tusitafutiane sababu,
 
Kuna watu hawana bahati duniani.

Mfano Pele, alikua akisema timu Fulani inashinda basi ujue inapigwa.
Akisema Timu hii inachukua kombe basi hata makundi haivuki.

Hii bahati mbaya ndiyo anayo alipipi. Mzuieni asiendelee kutabiri matokeo in favour ya united, bora atabiri mnafungwa ili awe kafanya kinyume
 
Una ujinga sana 🤣
 
Huyu kocha wenu ile speach ya kwanza aliongea pumba sana, ligi ya Uingereza ni ngumu sana. Alidhani yuko Ureno
 
Kwamba united inafungwa kisa utabiri wa alipipi mkuu🤣?
 
Nyumbu this season:

Sack Ten Hag - 13th
Sack Van Nistelrooy - 13th
Sign Amorim - 13th
Defeat Man City - 13th
Ban Rashford - 13th
Sack Ashworth - 13th

Festive period - 14th
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…