Aseno mbele ya mafanikio hapo epl ya kubeba ndoo ya ligi ni kichekesho tu msijifiche kwenye kichaka Cha mpira mzuri mnaocheza......arteta ni wenga aliechangamka
Sasa kama hukumbuki mara ya mwisho kuchukua ligi unajuaje mafanikio yake?
 
Sasa kama unashangaa kwa Man u Arsenal si ndio utazimia mkuuπŸ˜‚
Kwenye ishu ya kombe la ligi Arsenal na Man U wote ni wazee wa kale.
Tumebaki kubrag juu ya nani kafika wapi kati ya CL na Europa. Nafasi kwenye ligi and the like. Ila kombe la ligi wote ni achievement ya nyuma
 
Anajaribu kukwambia huna uhalali wa kumcheka bingwa wa miaka ya karibuni kuliko nyie Arsenal hapo EPL.
Bingwa wa miaka ya hivi karibu ni man city,sio nyinyi yaani ni kichekesho cha mwaka πŸ˜€πŸ˜€
Sasa hivi mnatapa tapa bora hata ya arsenal kuliko nyinyi ,msimu huu mtashuka daraja.
 
Bingwa wa miaka ya hivi karibu ni man city,sio nyinyi yaani ni kichekesho cha mwaka πŸ˜€πŸ˜€
Sasa hivi mnatapa tapa bora hata ya arsenal kuliko nyinyi ,msimu huu mtashuka daraja.
Dogo naamini hujaelewa point tuliokuwa tunazungumzia.
Tulifanya comparison kati ya Arsenal na Man u. city anaingiaje hapo?
 
Binafsi nahitaji tushuke daraja wale glazers waiachie timu mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…