ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Shabiki wa aseno unaitukana united inashangaza maana kama ni ubingwa epl sikumbuki aseno mara ya mwisho kubeba ni liniPunda kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shabiki wa aseno unaitukana united inashangaza maana kama ni ubingwa epl sikumbuki aseno mara ya mwisho kubeba ni liniPunda kabisa
Kama haukumbuki ni kwakua wewe ni gen zShabiki wa aseno unaitukana united inashangaza maana kama ni ubingwa epl sikumbuki aseno mara ya mwisho kubeba ni lini
Aseno mbele ya mafanikio hapo epl ya kubeba ndoo ya ligi ni kichekesho tu msijifiche kwenye kichaka Cha mpira mzuri mnaocheza......arteta ni wenga aliechangamkaKama haukumbuki ni kwakua wewe ni gen z
Sasa kama hukumbuki mara ya mwisho kuchukua ligi unajuaje mafanikio yake?Aseno mbele ya mafanikio hapo epl ya kubeba ndoo ya ligi ni kichekesho tu msijifiche kwenye kichaka Cha mpira mzuri mnaocheza......arteta ni wenga aliechangamka
Anajaribu kukwambia huna uhalali wa kumcheka bingwa wa miaka ya karibuni kuliko nyie Arsenal hapo EPL.Sasa kama hukumbuki mara ya mwisho kuchukua ligi unajuaje mafanikio yake?
Karibuni? Aisee 🙄Anajaribu kukwambia huna uhalali wa kumcheka bingwa wa miaka ya karibuni kuliko nyie Arsenal hapo EPL.
Sasa kama unashangaa kwa Man u Arsenal si ndio utazimia mkuu😂Karibuni? Aisee 🙄
Kwenye ishu ya kombe la ligi Arsenal na Man U wote ni wazee wa kale.Sasa kama unashangaa kwa Man u Arsenal si ndio utazimia mkuu😂
Jamaa hana huruma kabisa kwa majirani zakeHamisi unapiga sana spana!😂😂🙌
Bado points 8 tu manjesta atumbukie kwenye RED ZONE
Mimi nasema kiwake tu
Mechi zijqzo vs Newcastle, Liverpool
Manjesta atawakosa Dibra Fernandez na Ugale
Manjesta anatakiwa awe nafasi ya 16-20 ,
Mkishuka daraja tutapitisha mchango wa kununua ng'ombe tuchinje
Bingwa wa miaka ya hivi karibu ni man city,sio nyinyi yaani ni kichekesho cha mwaka 😀😀Anajaribu kukwambia huna uhalali wa kumcheka bingwa wa miaka ya karibuni kuliko nyie Arsenal hapo EPL.
Huyo ni fans wa aseno kutwa kucha kuicheka unitedSasa kama unashangaa kwa Man u Arsenal si ndio utazimia mkuu😂
Dogo naamini hujaelewa point tuliokuwa tunazungumzia.Bingwa wa miaka ya hivi karibu ni man city,sio nyinyi yaani ni kichekesho cha mwaka 😀😀
Sasa hivi mnatapa tapa bora hata ya arsenal kuliko nyinyi ,msimu huu mtashuka daraja.
Nani dogo wewe? Man city anaingia kama bingwa wa hivi karibuni.Dogo naamini hujaelewa point tuliokuwa tunazungumzia.
Tulifanya comparison kati ya Arsenal na Man u. city anaingiaje hapo?
Hakuwepo kwenye mjadala jifunze kuelewa kabla hujaandika.Nani dogo wewe? Man city anaingia kama bingwa wa hivi karibuni.
Piga spana piga spanaJamaa kaandika hivi
View attachment 3187247
Hojlund akamfuata mshkaji inbox. Akamuandikia hivi
View attachment 3187248
Kwani bado wapo si timu imenunuliwa na tajiri mwembamba jimmy ratcliffe 😂😂..au bado wapo na mkono wao?Binafsi nahitaji tushuke daraja wale glazers waiachie timu mazima
Wapo wameuza hisa na sio timu nzima....nuksi tu Toka wainunue timu mpaka leoKwani bado wapo si timu imenunuliwa na tajiri mwembamba jimmy ratcliffe 😂😂..au bado wapo na mkono wao?