Vp mkuu, leo tunashinda 2-1 au Sio πLeo Newcastle anakula 2. Mwaka tutaumaliza vizuri tu. GGMU
hii header mbona kama onana unamuonea mkuu, hii timu wanatakiwa wafukuze hadi wafagiaji yani waanze upya mazima tuNaendelea kuwakumbusha tafuteni kipa wa kueleweka.
Unataka ku-attack kwa kumtumia Zirkzee? Labda umelogwa.Hii timu ni takataka kabisa they cant defend they cant attack