Manchester United (Red Devils) | Special Thread
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Amorim anajua Epl ni sawa na ligi yao ya madafu Primeira Liga, njoga jumapili Liverpool wamkaribishe rasmi kweli ligi ya kiume ndio akili itamkaa sawa na hio formation yake ya 3-4-2-1
10Hag aligongwa 7 huyu akikoswakoswa goli 8+ zinamuhusu.
 
Ataweka 5-4-1 siku hiyo
 
Back
Top Bottom