[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Amorim anajua Epl ni sawa na ligi yao ya madafu Primeira Liga, njoga jumapili Liverpool wamkaribishe rasmi kweli ligi ya kiume ndio akili itamkaa sawa na hio formation yake ya 3-4-2-1
10Hag aligongwa 7 huyu akikoswakoswa goli 8+ zinamuhusu.
 
na timu inaenda. hata hapo united mambo yanabidi yaende tu kuamini hawa makocha wote wanaokuja hawana uwezo hii mimi binafsi ntabisha sana
Kwa aina ya wachezaji alionao slot lazima timu iende na ifanye vizuri.

Kwahiyo mkuu wewe unayo imani na Ruben amorim?
 
Ataweka 5-4-1 siku hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…