Manchester United (Red Devils) | Special Thread
LISANDRO MARTINEZ WITH AN ABSOLUTE ROCKET! WHAT A HIT! Liverpool 0-1 Man Utd
1736102413265.gif
 
Bora tupate muda wa kupumzika kwanza, kama tu tungekuwa na wachezaji wa madaraja ya juu kidogo tungefunga zaidi ya mbili. Bado tunajitafuta Sanaa na inabidi iwe hivyo, najua players are struggling enough lakini lazima tukomae tumalize chini ya sita. Hata Kwa vitu vidogo basics wachezaji wanavikosa aidha Kwa kutojiamini au uwezo ndo umefikia hapo, hapa tungoje summer tunaweza tukawa na maingizo mazuri yenye ubora tunaoutaka, tujikongoje hivi hivi tutakuja kuingia tu kwenye mchezo taratibu misimu ya mbele, fans lazima tumsapoti huyu kocha.
 
Back
Top Bottom