Manchester United (Red Devils) | Special Thread
unajiuliza shida ya timu yetu ni nini unakosa majibu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Laana ya kumnyima timu Mwarabu na kumpa yule babu wa Kihindi haitatuacha salama.
Ukute Sheikh Jassim bin Hamad bin Khalifa Al Thani baada ya kunyimwa team aliwaita mashehe wenzake watusomee Al Baridi.
images-2.jpg
 
Wachezaji ambao kama mpo serious lazima muwauze,
1)Onana
2)Garnacho
3)Hojlund
4)Yoro
5)Martines
6)Maino
7)Zirkee
8)Dialo

Haya ni magarasa muyauze haraka hasa Onana kama mnaweza Onana mumuuze leo leo usiku
Huyo dialo watakuelewa kweli? Wenyewe wanamuita Messi wa kiafrika....na hapo ni kisa kawapiga hattrick wachovu wale wa ligi(Southampton) mpk sahv Wana point 9 cjui 😂
 
Back
Top Bottom