Wachezaji ambao kama mpo serious lazima muwauze,
1)Onana
2)Garnacho
3)Hojlund
4)Yoro
5)Martines
6)Maino
7)Zirkee
8)Dialo

Haya ni magarasa muyauze haraka hasa Onana kama mnaweza Onana mumuuze leo leo usiku
Huyo dialo watakuelewa kweli? Wenyewe wanamuita Messi wa kiafrika....na hapo ni kisa kawapiga hattrick wachovu wale wa ligi(Southampton) mpk sahv Wana point 9 cjui πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…