Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Acha ujinga wewe...unaangalia mpira makengeza nini.
Mpira siyo kurukaruka kama maharage yanayochemshwa.

Dogo ana maamuzi ya ubinafsi sana, mechi ilikuwa inaisha mapema tu kama angetoa pasi kwa Hojlund/Amad wakati wapo ndani ya box.
 
who's next # mission21
IMG_20250208_010252_446.jpg
 
Duh! Jiji la Manchester limekumbwa na laana gani sijui,
City kabanwa na kitimu kina jina refu kaja kujiokoa jioni kabisa.
 
Kobie maino chezaji hata miaka 20 bado halijafksha linakimbia km linakaribia kustaafu 😄😄😄😄
Mazurui linakaba km punga🤣🤣
Dilgt kubwa jinga

Hamad had leo najiuliza anapataje namba manchester united 😄😄😄

Hili timu la kufala Sana linamtesa captain bruno tu
 
Kobe maino
Delgt
Mazurui
Hamad
Dalot
Lindof
Rashford
Antony


Hizi takataka zinatakiww Ziondoke msimu unaoisha
 
Back
Top Bottom