Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃ETH alileta wachezaji wa Ajax na ligi ya uholanzi akawajaza manjesta,sasa hivi mnahangaika kuwaomdoa
Tapeli Amorini atajaza wachezaji wa Sporting Lisbon na WA ligi ya Ureno
Mwakani kocha mpya kutoka visiwa vya shelisheli naye atafanya hivo hivo
Mpk hamad Messi mdogo?Kobe maino
Delgt
Mazurui
Hamad
Dalot
Lindof
Rashford
Antony
Hizi takataka zinatakiww Ziondoke msimu unaoisha
Battle la wabovu...kwa jinsi walivyokuwa nyumbu Hawa jamaa wanaweza wakashinda afu wakajitapa sana kumbe yanakutana mabovu yote hii Leo😁Friends of Spurs
Spurs atakuwa fala kufungwa na Hawa wehuBattle la wabovu...kwa jinsi walivyokuwa nyumbu Hawa jamaa wanaweza wakashinda afu wakajitapa sana kumbe yanakutana mabovu yote hii Leo😁
We fala kweli mkuu😂😂😂Huko Mazoezini Son anaongea Kikorea tu ila maneno yanayosikika ni Manjesta utd lazima waende nafasi ya 15
yeye ni mazoezi na kulia tu 😂😂😂
Mwisho wa msimu nitakuwa mmoja friends of Arsene wenger orphans naomba uwepo mkuu😂Spurs atakuwa fala kufungwa na Hawa wehu
NashukuruKikosi cha Watoto wa bwenyenye Sir Jim hawa hapa
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁
My prediction
Spurs 1 vs Manchester united 2
watapigwa sana wale vijana wa nyeupe.View attachment 3238083
PumbavuMchambuzi nguli, na mwanazuoni wa Soka la ndani na nje ya mipaka ya Tanzania mwenye beji ya fifa ,mwenye leseni ya ukocha grade B kutoka pale karume
Natoa tamko Amorini ni tapeli na hatawafikisha popote , ni kocha asiyeweza kubadilika ,ni kocha aliyekariri mfumo mmoja tu 3-4-3
Hawezi kutoka nje ya hapo ,
Nilisema ETH ni tapeli ,ila Amorini ni Tapeli kipeuo cha pili
Takwimu zinaongea View attachment 3237486
Haya tafuteni mawili yenuKikosi cha Watoto wa bwenyenye Sir Jim hawa hapa
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁
My prediction
Spurs 1 vs Manchester united 2
watapigwa sana wale vijana wa nyeupe.View attachment 3238083
Spurs wameshaweka goal lao[emoji2]Kikosi cha Watoto wa bwenyenye Sir Jim hawa hapa
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha [emoji16] [emoji16]
My prediction
Spurs 1 vs Manchester united 2
watapigwa sana wale vijana wa nyeupe.View attachment 3238083