John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,207
- 2,593
๐Huyu bwanyenye atakuwa ana asili ya romboBwanyenye halitaki mchezo
View attachment 3248908
Kumbe ulishatabiri ๐Kikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim kimeshuka kwenda kuwaangamiza wale Ipswich.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha ๐ ๐
My prediction
Manchester united 4 vs Ipswich 0
Tutapiga sana wale.View attachment 3250884
Kula chuma ๐Hatari diLigtView attachment 3250959
HeheheHatari diLigtView attachment 3250959
We punda si ulisema zakaria kakobe ni bonge la mchezajiKumbe huyu kocha ni mjinga kiasi hiki. Baada ya red ya Dorgu kwa njia yoyote alitakiwa amtoe HUJLUND au ZIRKZEE wanaorukaruka pale mbele hata hawajui wanafanya nini. Badala yake anamtoa Garnacho ambaye ni hatari sana akiwa huku kushoto na siku hizi ame-improve kwa kross chonganishi. Jinga sana hili kocha kumbe.