Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Kikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim kimeshuka kwenda kuwaangamiza wale Ipswich.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁

My prediction

Manchester united 4 vs Ipswich 0

Tutapiga sana wale.
1740594251000.jpg
 
What is going on at Manchester United there? https://jamii.app/JFUserGuide man u.
 
Naona nyumbu mnarejea kutoka hospitali 😂 anyway hili game mnashinda mbuzi nyie.
 
Kumbe huyu kocha ni mjinga kiasi hiki. Baada ya red ya Dorgu kwa njia yoyote alitakiwa amtoe HUJLUND au ZIRKZEE wanaorukaruka pale mbele hata hawajui wanafanya nini. Badala yake anamtoa Garnacho ambaye ni hatari sana akiwa huku kushoto na siku hizi ame-improve kwa kross chonganishi. Jinga sana hili kocha kumbe.
 
We punda si ulisema zakaria kakobe ni bonge la mchezaji
 
Back
Top Bottom