Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Aiseee tafuteni kipa wa kueleweka.
Kipa anaruka kabla penati haijapigwa 🤣🤣🤣Sijui ni kwanini kila nikimtazama Onana naona kama anafanya mzaha golini, sijawahi kumuamini kabisa.
Eeh mzee ulijua nn kuwa jamaa litazamisha meli😂
Kipa anaruka kabla penati haijapigwa 🤣🤣🤣
😁 anajiangushaKipa anaruka kabla penati haijapigwa 🤣🤣🤣
Altay yupo muhimbili 😁[emoji23][emoji23] Zikizee maana yake ni Zee lenye ziki, sio magoli ya wazi tu, lenyewe linakosa mpaka penalties.
Lindi loaf hapo ndio unajiuliuza tokea lini Lindi wakajua kutengeneza mikate? Jitu lipo hapo Utd tokea kipindi Muumini Mwinyijuma anaachia ile nyimbo yake maarufu ya Tunda mpaka wa leo bado linategemewa na timu.
Ile Mechi tuliyo mtoa Arsenyau tulibebwa tu na uwezo binafsi wa Altay Bayındır, sasa sijui Amoxilin ana chuki gani na huyu dogo, sawa kwenye EPL asimpe namba ila hata FA pia anambania hata kwenye Sub hayupo?
masihara hayaFichajes pia wameeleza kuwa uongozi wa United unamlenga kocha mkuu wa klabu ya Aston villa Unai Emery Kuchukua majukumu ya kuifundisha klabu hiyo baada ya Amorim kuondoka.