always happy? we will see about that today...
Leo ni Kuwanyonyesha tu.
leo mtashikika!
oh i luv me some ronaldo, lakini jana we acha, hivi tanesco walikuwa na ajenda gani kukata umeme dar nzima, ndo walitaka watu wasifaidi mechi, yaani siku zooooooooote ndo wachague jana? mi hii kitu imeniuma sana, kukosa kuona live, how my boyz lift that thing up, lakini shangamba tu, 99 i saw every moment of it.
oh i luv me some ronaldo, lakini jana we acha, hivi tanesco walikuwa na ajenda gani kukata umeme dar nzima, ndo walitaka watu wasifaidi mechi, yaani siku zooooooooote ndo wachague jana? mi hii kitu imeniuma sana, kukosa kuona live, how my boyz lift that thing up, lakini shangamba tu, 99 i saw every moment of it.
Duh, Mama Paroko! Nilitaka kuandamana peke yangu! I hate TANESCO! Ulikatika hadi Tanga.
Hata hivyo haizuii sherehe yetu!
Sio Dar tu hata MOSHI umeme ulikatika
Nafikiri ABRAMOVIC aligawa fungu TANESCO
In red!! That is Classic...ha ha that was funny!!! Ila duh tumechukulia ubingwa nyumbani kwa Abramovic!!!
Na Kweli Man U hatushikiki!
Sijui hata niseme nini!
Naona yote mshamaliza hapo juu, vijana wa Grants hawatuwezi, si angani wala majini, si mchana wala usiku, si bara wala pwani, si msituni wala jangwani, si uingereza wala Urusi, kote wameshindwa.
By the way, mwisho wa mechi ya jana ndio maandalizi ya mechi nyingine za mabingwa, tuwatakie kila la kheri Chelsea.
AB Titchaz na wenzako mko wapi? Njooni niwape ofa tuendelee kugonganisha glasi!
asante kwa sportsmanship, lakini acha excuses, jamani ile ofa ya muda wa maongezi kwa mashabiki wote wa chelsea walio tz bado ipo, hata kama we arsenal, liverpool nipeni namba zenu niwarushe, yaani Roy asante, mi nilifikiri ni hapa kwetu, hao tanesco waache tu na ajenda zao za siri, lakini mambo yote shangamba tu, am taking it easy, lyf is gud, as long as MAN U r on top!IDIMI,
Nipo mwenzio naumwa kweli maana seketa ya jana sio mchezo.
Ngoma ilikua safi na nilikua laivu kwenye runinga na humu pia...nikiwasiliana na Icadon toka the get go.Hatimaye I threw in the towel after Terry slipped and fell while taking the last kick of the initial 5 penalties.I shed tears with my lads and we will leave to fight another day.
Hata hivyo uwanja wa Moscow haufai hata kwa senti tano.Uwanja wetu wa
neshno afadhali kwa asili mia kubwa.Uliona jamaa walivyokua wanaumwa misuli
coz the ground was uneven and the grass was not holding?UEFA officials need
to do a better job next time.Ni heri hata the finalists wawe na option ya kupiga ngoma in their home turf kama during the qualifiers.
Hata hivyo hongera kwa Man U!!!!!
P.S....Hio ofa ieke hapo hapo maana I will hold you to it mpaka ahera..hahahaha!!!