Manchester United (Red Devils) | Special Thread
cover_650x435.jpg
 
.......# Viva Ronaldoooooo
.......# Viva Ronaldoooooo

Champions!!

Champions!!

Man U Rules!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
[media]http://www.youtube.com/watch?v=ClxQjSLdgic[/media]
 
always happy? we will see about that today...

Leo ni Kuwanyonyesha tu.

leo mtashikika!

Mje mtuombe radhi, kisha mtupongeze...🙂
Hapa ni ruksa kupiga kelele kwa sauti ya juu uwezavyo....
Man Uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu we acha tu!
Tunangoja pongezi za kina Ab-Titchaz (pole mkuu game ilikua tight)!
 
oh i luv me some ronaldo, lakini jana we acha, hivi tanesco walikuwa na ajenda gani kukata umeme dar nzima, ndo walitaka watu wasifaidi mechi, yaani siku zooooooooote ndo wachague jana? mi hii kitu imeniuma sana, kukosa kuona live, how my boyz lift that thing up, lakini shangamba tu, 99 i saw every moment of it.
 
leo nilikuwa nataka kuwapiga ofa mashabiki woote wa chelsea kila voucher ya buku ten ya simu, ili watumiane salamu za rambi rambi vizuri, yaani kasoro FA tu historia ingejirudia.
 
oh i luv me some ronaldo, lakini jana we acha, hivi tanesco walikuwa na ajenda gani kukata umeme dar nzima, ndo walitaka watu wasifaidi mechi, yaani siku zooooooooote ndo wachague jana? mi hii kitu imeniuma sana, kukosa kuona live, how my boyz lift that thing up, lakini shangamba tu, 99 i saw every moment of it.

Duh Pole zako, hii imekaa kama kilichonitokea mwaka 1999, umefika ule muda Beckham anakwenda kupiga kona umeme ukakatika...nikakurupuka kwenda kutafuta radio, nilivyoipata kutafuta BBC kuipata nikakuta mtangazaji amekaa kimya watu wanapiga makelele nikajua ndio tumeshauwauwa.....Alivyoanza kuzungumza The rest is History!!!
I Will Never Forget That Night!!!

dcuhs2.jpg
 
Ugomvi wenyewe ulianzia kwenye hii ndoo hapa! Kila m1 anasema yake..(labda mwakani kila timu ipewe ndoo yake ili waache ugomvi - hata ganaz wapewe. Tena wapewe kubwa zile za Amboni plastics)
trophy-500.jpg

Wakakwea pipa hadi Moscow!

Jeraha la kwanza!
ron-500.jpg

Halikutosha wakazinduka! Kibahatibahati tu!
lamps-500.jpg

Huyu naye kaanza kuwatandika wenzie makofi..kaambiwa makofi NO!
drogba-500.jpg

Ikafika kuchapana konde moja moja usoni (penati).. Shujaa wetu kawaonea huruma...hakuwatandika ngumi ya uso sawasawa
ron-pen-500.jpg

Kiongozi JT kakosa hapa sijui anazuga au ...
terry-500.jpg

Huu mkwala ukamfanya Mkongwe Anelka (siku hizi anaitwa nani vile) aseme yeye sio karateka. Yeye kazoea ngumi za kawaida tu!
anelka-500.jpg

Kila sababu ya kusherekea ilikuwepo!
united-500.jpg

TUJUMUIKE NAO... MASHUJAA WETU!
 
oh i luv me some ronaldo, lakini jana we acha, hivi tanesco walikuwa na ajenda gani kukata umeme dar nzima, ndo walitaka watu wasifaidi mechi, yaani siku zooooooooote ndo wachague jana? mi hii kitu imeniuma sana, kukosa kuona live, how my boyz lift that thing up, lakini shangamba tu, 99 i saw every moment of it.

Duh, Mama Paroko! Nilitaka kuandamana peke yangu! I hate TANESCO! Ulikatika hadi Tanga.
Hata hivyo haizuii sherehe yetu!
 
Na Kweli Man U hatushikiki!
Sijui hata niseme nini!
Naona yote mshamaliza hapo juu, vijana wa Grants hawatuwezi, si angani wala majini, si mchana wala usiku, si bara wala pwani, si msituni wala jangwani, si uingereza wala Urusi, kote wameshindwa.
By the way, mwisho wa mechi ya jana ndio maandalizi ya mechi nyingine za mabingwa, tuwatakie kila la kheri Chelsea.
AB Titchaz na wenzako mko wapi? Njooni niwape ofa tuendelee kugonganisha glasi!
 
Yeah
THERE IS ONLY ONE UNITED IN THAT WORLD AND TAHT IS MAN................
 
Duh, Mama Paroko! Nilitaka kuandamana peke yangu! I hate TANESCO! Ulikatika hadi Tanga.
Hata hivyo haizuii sherehe yetu!

Sio Dar tu hata MOSHI umeme ulikatika
Nafikiri ABRAMOVIC aligawa fungu TANESCO
 
Sio Dar tu hata MOSHI umeme ulikatika
Nafikiri ABRAMOVIC aligawa fungu TANESCO

In red!! That is Classic...ha ha that was funny!!! Ila duh tumechukulia ubingwa nyumbani kwa Abramovic!!!
 
kweli aliyesema hapo juu kuwa there is only one united in the world and the same is MAN U hakukosea

ni kweli there is only one united in the world and the same is MANCHESTER UNITED "RED DEVILS"

hongereni sana Man u kwa ushindi wenu wa jana kwa hawa vijana wa ABR
 
Na Kweli Man U hatushikiki!
Sijui hata niseme nini!
Naona yote mshamaliza hapo juu, vijana wa Grants hawatuwezi, si angani wala majini, si mchana wala usiku, si bara wala pwani, si msituni wala jangwani, si uingereza wala Urusi, kote wameshindwa.
By the way, mwisho wa mechi ya jana ndio maandalizi ya mechi nyingine za mabingwa, tuwatakie kila la kheri Chelsea.
AB Titchaz na wenzako mko wapi? Njooni niwape ofa tuendelee kugonganisha glasi!

IDIMI,

Nipo mwenzio naumwa kweli maana seketa ya jana sio mchezo.
Ngoma ilikua safi na nilikua laivu kwenye runinga na humu pia...nikiwasiliana na Icadon toka the get go.Hatimaye I threw in the towel after Terry slipped and fell while taking the last kick of the initial 5 penalties.I shed tears with my lads and we will leave to fight another day.

Hata hivyo uwanja wa Moscow haufai hata kwa senti tano.Uwanja wetu wa
neshno afadhali kwa asili mia kubwa.Uliona jamaa walivyokua wanaumwa misuli
coz the ground was uneven and the grass was not holding?UEFA officials need
to do a better job next time.Ni heri hata the finalists wawe na option ya kupiga ngoma in their home turf kama during the qualifiers.

Hata hivyo hongera kwa Man U!!!!!

P.S....Hio ofa ieke hapo hapo maana I will hold you to it mpaka ahera..hahahaha!!!
 
ila hata kama uwanja ulikuwa mbovu MAu wamefanya mambo yao tuwaache washangilie ushindi wao
 
IDIMI,

Nipo mwenzio naumwa kweli maana seketa ya jana sio mchezo.
Ngoma ilikua safi na nilikua laivu kwenye runinga na humu pia...nikiwasiliana na Icadon toka the get go.Hatimaye I threw in the towel after Terry slipped and fell while taking the last kick of the initial 5 penalties.I shed tears with my lads and we will leave to fight another day.

Hata hivyo uwanja wa Moscow haufai hata kwa senti tano.Uwanja wetu wa
neshno afadhali kwa asili mia kubwa.Uliona jamaa walivyokua wanaumwa misuli
coz the ground was uneven and the grass was not holding?UEFA officials need
to do a better job next time.Ni heri hata the finalists wawe na option ya kupiga ngoma in their home turf kama during the qualifiers.

Hata hivyo hongera kwa Man U!!!!!

P.S....Hio ofa ieke hapo hapo maana I will hold you to it mpaka ahera..hahahaha!!!
asante kwa sportsmanship, lakini acha excuses, jamani ile ofa ya muda wa maongezi kwa mashabiki wote wa chelsea walio tz bado ipo, hata kama we arsenal, liverpool nipeni namba zenu niwarushe, yaani Roy asante, mi nilifikiri ni hapa kwetu, hao tanesco waache tu na ajenda zao za siri, lakini mambo yote shangamba tu, am taking it easy, lyf is gud, as long as MAN U r on top!
 
Last edited:
I'm one amongst the MAN UTD fans. Manake ile furaha yangu jana hata haina mfano wallah.
Nafkiri ningeomba pepo basi sina wasiwasi niko FIRDAUS
Wee acha tuu.
Hata leo I couldn't wake up early for collg. I overslept kwa furaha ya jana mpaka ktk night dreams.
MACHESTER UNITED ARE KINGS OF EUROPE mkipenda msipende.
 
Back
Top Bottom