Fergie asimuuza SILVESTRE yule jamaa anacheza kwa SPIRIT ya hali ya juu sana
Wachezaji kama OSHEA,BROWN,GNEVILE,SCHOLES ningependa wasiuzwe
wananikumbusha akina IRWIN,BUTT,PHIL NEVILE
But najua FERGIE atamuuza kwani jamaa kawa majeruhi sana
Kuhusu SAHA no way out auzwe tupate striker mwingine
Unajua nilivyokuwa nasoma majina ya kina Irwin, Nicky Butt umenikumbusha miaka ile ya nyuma.
Unamkumbuka Henning Berg? hivi aliishia wapi maana sikumuona tena baada ya kupigwa chenga na Redondo mpaka akakaa chini.
Saha has to go for real...well as far as Sylvestre is concerned inabidi tuanze kushop for another defender maana sidhani kama anazaidi ya season mbili OT.
Mkuu IDIMI, mwakani Mungu akipenda (MSIMU UJAO) Inshaallah kama kawa Wali tulio watwaa mwaka huu wanabakia na wataongezeka.
Kuhusiana na isssue ambayo inanikera kwa sasa ya Ronaldo, mimi nafikiri kama Mpenzi na Mwanachama wa Man Utd, kwa mujibu wa Real Madrid kusema kwamba watatupa ROBINHO, DIARRA, na RAMOS mimi naona poa tuu jamaa WAMUUUZE tuu maana kwa jinsi ninavyoona hata Ronaldo mwenyewe anahamu sana ya kwenda Real Madrid sasa ya nini kukaa na Mtu mwenye fikra upande mwingine na yeye sio wa kwanza kuwa Superstar Man Utd.
Ronaldo: I'm happy at United; I dream of playing in Spain one day but sometimes dreams don't come true
Walikuwepo wengi na walilia kwenda Real Madrid sasa hivi wanashangaa shangaa tuu: BECKHAM YUPO WAPI SASA, OWEN SASA HIVI YUPO WAPI, Mimi naona aendee tuu KAMA HIZI HABARI NI ZA KWELI.
"Real Madrid prepare £150m bid to lure Cristiano Ronaldo - with Robinho, Ramos and Diarra offered to United"
http://www.dailymail.co.uk/sport/fo...ldo--Robinho-Ramos-Diarra-offered-United.html

[/url]
Mkuu una ushahidi wa tuhuma hizi lakini?
Hapa ni JF we weka mambo wazi tu.
Hili liko wazi hata Grants alitoa data. Angalia idadi ya penati wanazopiga Manchester katika mazingira ya utatanishi na jinsi ambavyo wao hawapigiwi pamoja na kwamba Ferdinand na Brown kila mara wanafanya makosa yanayostahili penati. Kwa msimu hu, walifanya makosa zaidi ya 20 yaliyostahili penati lakini ni moja tu waliyopigiwa. Angalia pia faulo wanazocheza na idadi ya kadi wanzopewa. Fananisha na timu kama Arsenal au Chelsea utagundua ninachosema.

Unajua tangu Ronaldo atamaniwe na timu kadhaa za Ulaya ameanza kuleta makuzi na kujiona yeye ndio yeye pale Trafford Kongwe. Na hii ya kuibuka mfungaji bora klabu bingwa ndio kabisaaaa imempa kichwa, kwa hiyo anatikisa kiberiti.
Hii inanikumbusha enzi za Said Sued "Scud" wa Yanga enzi zake, na majigambo ya kwamba yanga bila yeye hawali.
Sasa basi itafikia kipindi Sir Ferguson atasema basi, liwalo na liwe na aende!
Lisemwalo lipo!
Hili liko wazi hata Grants alitoa data. Angalia idadi ya penati wanazopiga Manchester katika mazingira ya utatanishi na jinsi ambavyo wao hawapigiwi pamoja na kwamba Ferdinand na Brown kila mara wanafanya makosa yanayostahili penati. Kwa msimu hu, walifanya makosa zaidi ya 20 yaliyostahili penati lakini ni moja tu waliyopigiwa. Angalia pia faulo wanazocheza na idadi ya kadi wanzopewa. Fananisha na timu kama Arsenal au Chelsea utagundua ninachosema.
Then kuhusu Ronaldo still i guess we need to chew him much more before ya kumuuza...SAF knows that thats y anambeba..the boy is brilliant na katufikisha hapa tulipo Manutd jaman lets hold him on....just a bit then tunammwaga kama wenzake akina Becks, Stam et al........!!!