Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Nafikiri tunao midfielder wa kutosha but we need at least 2 defenders baada ya kuondoka PIQUE na Danny Simon kuondoka kwa mkopo
Beki hasa wa kati kwani wakiumia VIDA & RIO naona hakuna wa kuziba pengo kwani BROWN anaweza kucheza vizuri kulia
Silvestre na O shea hawaaminiki wakicheza kati
Then if posible SAHA auzwe aletwe striker mwingine
 
Few weeks ago Saha alisema hatoshangaa kama akiambiwa aangalie ustaarabu mwingine....Sylvestre naona alikuwa na majadiliano na Club ya kwao nadhani ilikuwa Bourdeux akasema kama wakikubaliana kwenye malipo atakwenda.
 
Fergie asimuuza SILVESTRE yule jamaa anacheza kwa SPIRIT ya hali ya juu sana
Wachezaji kama OSHEA,BROWN,GNEVILE,SCHOLES ningependa wasiuzwe
wananikumbusha akina IRWIN,BUTT,PHIL NEVILE
But najua FERGIE atamuuza kwani jamaa kawa majeruhi sana
Kuhusu SAHA no way out auzwe tupate striker mwingine
 
Unajua nilivyokuwa nasoma majina ya kina Irwin, Nicky Butt umenikumbusha miaka ile ya nyuma.

Unamkumbuka Henning Berg? hivi aliishia wapi maana sikumuona tena baada ya kupigwa chenga na Redondo mpaka akakaa chini.

Saha has to go for real...well as far as Sylvestre is concerned inabidi tuanze kushop for another defender maana sidhani kama anazaidi ya season mbili OT.
 
Sijui BERG yuko wapi but namshukuru FERGIE kwani most of UNITED LEGEND wanajishughulisha na soka na wanapata mafanikio.Nafikiri BARCA & ACMILAN pia wengi wa maLEGEND wao wanafundisha soka
STEVE COPELL-READING
MARK HUGHES-BLACKBURN
ROY KEANE-SUNDERLAND
STEVE BRUCE-WIGAN
LAURENT BLANC-BORDEAX jamaa amekuwa kocha bora wa ligi ya FRANCE
Bado wengine kina SOLSJAER,GIGGS watakuja
 
Unajua nilivyokuwa nasoma majina ya kina Irwin, Nicky Butt umenikumbusha miaka ile ya nyuma.

Unamkumbuka Henning Berg? hivi aliishia wapi maana sikumuona tena baada ya kupigwa chenga na Redondo mpaka akakaa chini.

Saha has to go for real...well as far as Sylvestre is concerned inabidi tuanze kushop for another defender maana sidhani kama anazaidi ya season mbili OT.

Ni kweli kwamba Saha sasa inabidi auzwe, kwani amekuwa benchi mara nyingi sana. Naungana nanyi kwamba inabidi wachezaji wengine wanunuliwe ili kuongeza safu ya ulinzi. Ningekuwa na ushawishi, ningependa na Scholes naye auzwe
 
Mkuu IDIMI, mwakani Mungu akipenda (MSIMU UJAO) Inshaallah kama kawa Wali tulio watwaa mwaka huu wanabakia na wataongezeka.

Kuhusiana na isssue ambayo inanikera kwa sasa ya Ronaldo, mimi nafikiri kama Mpenzi na Mwanachama wa Man Utd, kwa mujibu wa Real Madrid kusema kwamba watatupa ROBINHO, DIARRA, na RAMOS mimi naona poa tuu jamaa WAMUUUZE tuu maana kwa jinsi ninavyoona hata Ronaldo mwenyewe anahamu sana ya kwenda Real Madrid sasa ya nini kukaa na Mtu mwenye fikra upande mwingine na yeye sio wa kwanza kuwa Superstar Man Utd.

Ronaldo: I'm happy at United; I dream of playing in Spain one day but sometimes dreams don't come true

Walikuwepo wengi na walilia kwenda Real Madrid sasa hivi wanashangaa shangaa tuu: BECKHAM YUPO WAPI SASA, OWEN SASA HIVI YUPO WAPI, Mimi naona aendee tuu KAMA HIZI HABARI NI ZA KWELI.

"Real Madrid prepare £150m bid to lure Cristiano Ronaldo - with Robinho, Ramos and Diarra offered to United"

http://www.dailymail.co.uk/sport/fo...ldo--Robinho-Ramos-Diarra-offered-United.html
 
Tatizo la Man U ni kupendelewa na kununua mechi. Yaani katika makosa kumi ya marefa, manane yanaipendelea MAN U< Kwa nini? Chezeni fair!
 
Unajua tangu Ronaldo atamaniwe na timu kadhaa za Ulaya ameanza kuleta makuzi na kujiona yeye ndio yeye pale Trafford Kongwe. Na hii ya kuibuka mfungaji bora klabu bingwa ndio kabisaaaa imempa kichwa, kwa hiyo anatikisa kiberiti.
Hii inanikumbusha enzi za Said Sued "Scud" wa Yanga enzi zake, na majigambo ya kwamba yanga bila yeye hawali.

Sasa basi itafikia kipindi Sir Ferguson atasema basi, liwalo na liwe na aende!
Lisemwalo lipo!
 
Mkuu una ushahidi wa tuhuma hizi lakini?
Hapa ni JF we weka mambo wazi tu.
 
[/url]

Yes if he want to go just let him go but there is only one UNITED in the WORLD and that is MANCHESTER UNITED
UNITED was there and SHINE before RONALDO was born also many important players have been sold by FERGIE.
STAM,NISTELROOY,BECKHAM,,KEANE and others were KEY PLAYERS but we still win win TROPHY with their absence
 
Mkuu una ushahidi wa tuhuma hizi lakini?
Hapa ni JF we weka mambo wazi tu.

Hili liko wazi hata Grants alitoa data. Angalia idadi ya penati wanazopiga Manchester katika mazingira ya utatanishi na jinsi ambavyo wao hawapigiwi pamoja na kwamba Ferdinand na Brown kila mara wanafanya makosa yanayostahili penati. Kwa msimu hu, walifanya makosa zaidi ya 20 yaliyostahili penati lakini ni moja tu waliyopigiwa. Angalia pia faulo wanazocheza na idadi ya kadi wanzopewa. Fananisha na timu kama Arsenal au Chelsea utagundua ninachosema.
 
Unatapatapa mbona CHELSEA ya MOURINHO ilichukua kombe mara mbili mfululizo
Je MANU hawakupendelewa
ARSENAL ndio hamna timu kabisa ya kubeba kombe labda wamtimue WENGER
 
Mkuu IDIMI, mwakani Mungu akipenda (MSIMU UJAO) Inshaallah kama kawa Wali tulio watwaa mwaka huu wanabakia na wataongezeka.

Kuhusiana na isssue ambayo inanikera kwa sasa ya Ronaldo, mimi nafikiri kama Mpenzi na Mwanachama wa Man Utd, kwa mujibu wa Real Madrid kusema kwamba watatupa ROBINHO, DIARRA, na RAMOS mimi naona poa tuu jamaa WAMUUUZE tuu maana kwa jinsi ninavyoona hata Ronaldo mwenyewe anahamu sana ya kwenda Real Madrid sasa ya nini kukaa na Mtu mwenye fikra upande mwingine na yeye sio wa kwanza kuwa Superstar Man Utd.

Ronaldo: I'm happy at United; I dream of playing in Spain one day but sometimes dreams don't come true

Walikuwepo wengi na walilia kwenda Real Madrid sasa hivi wanashangaa shangaa tuu: BECKHAM YUPO WAPI SASA, OWEN SASA HIVI YUPO WAPI, Mimi naona aendee tuu KAMA HIZI HABARI NI ZA KWELI.

"Real Madrid prepare £150m bid to lure Cristiano Ronaldo - with Robinho, Ramos and Diarra offered to United"

http://www.dailymail.co.uk/sport/fo...ldo--Robinho-Ramos-Diarra-offered-United.html

I back you, hakuna sababu ya kuwa na mchezaji anayejiona kwamba yeye ndiye timu. Huyo Robinho akitua Man U, akapata wembe wa Fargie anaweza kuwa mkali kuliko inavyofikiriwa. Also Nani is comming, he can play as Ronaldo. Ila kama atakuwa mtulivu na kujiona kuwa ni sawa na mchezaji mwingine, abaki aendelee kukuzwa kisoka, bado hajafikia viwango vya akina Diego Maradona.
 
Unajua tangu Ronaldo atamaniwe na timu kadhaa za Ulaya ameanza kuleta makuzi na kujiona yeye ndio yeye pale Trafford Kongwe. Na hii ya kuibuka mfungaji bora klabu bingwa ndio kabisaaaa imempa kichwa, kwa hiyo anatikisa kiberiti.
Hii inanikumbusha enzi za Said Sued "Scud" wa Yanga enzi zake, na majigambo ya kwamba yanga bila yeye hawali.

Sasa basi itafikia kipindi Sir Ferguson atasema basi, liwalo na liwe na aende!
Lisemwalo lipo!

Inakokwenda itakuwa kama issue ya Beckham lol....Anyways kama jamaa wanaoffer Pound Milion 150 na wachezaji juu wamuachie aende tuu...mwisho wa siku its all business.....

Wewe unayesema Manchester United wananunua mechi...you need to check your facts again... kwa kuanzia nenda kasome story ya Republik of Mancunia itakupa muangaza wa wapi pa kuanzia... Out of all people unasema ata Grants ametoa data lol.
 
Hili liko wazi hata Grants alitoa data. Angalia idadi ya penati wanazopiga Manchester katika mazingira ya utatanishi na jinsi ambavyo wao hawapigiwi pamoja na kwamba Ferdinand na Brown kila mara wanafanya makosa yanayostahili penati. Kwa msimu hu, walifanya makosa zaidi ya 20 yaliyostahili penati lakini ni moja tu waliyopigiwa. Angalia pia faulo wanazocheza na idadi ya kadi wanzopewa. Fananisha na timu kama Arsenal au Chelsea utagundua ninachosema.

Sio kwamba natetea uovu, lakini kwa jinsi ninavyofahamu FA na UEFA wanavyojua kuadhibu waovu, nina uhakika haya makosa ambayo unadai Manchester Utd wanafanya na yanamezewa wangekuwa washayapatiliza. Siku hizi kuna kamera kila pembe na kuna makamisaa ambao humuambia refa pale mambo yanapokwenda sivyo na yeye hakuona, lazima makosa kama haya yangechukuliwa hatua. Hawawezi kumezea makosa zaidi ya 20 kama unavyodai, FA sio wazembe namna hiyo.
Kama kuna jingine tuendelee na mjadala!
 
interesting, mi ningekuwa mshauri wa dogo ningemwambia abaki tu man, lakini yeye mwenyewe ndo ana haki ya kuchagua what best for him and i wont hate him for that, ila aangalie tu historia manake ina mtindo wa kujirudia, kuhusu scholes nawaombeni mumuache huyo jamaa astaafu akiwa manchester, sababu ana deserve title ya kuwa former Man U and nothing else.
 
Thanx mashetani wenzangu mimi nina mchango mdogo tu!

Its true fergie lazima afanye usajili msimu huu ikibidi, tunahitaji ''striker'' the likes of Rud Van Magoli bila shaka mnamkumbuka, huyu mu-angola Manucho sijui kama ataweza ku-copu soon lakini chini ya SAF hope atakuwa poa.

Then tunahitaji Beki wa kulia ambaye naamini atakuwa na uwezo wa kucheza na beki wa kati ikibidi, kuondoka kwa Pique ni big blow lakini no way out, Bosingwa. David Gill asha-tu taim kama kawaida yake, tunahitaji beki walau m1.

The likes of Saha na Silvestre nafikiri tuwatupie taulo enough is enough.....

Afu uyo Jobo anayelalama mauntd wapendelewa sijui ana-base gani ktk allegation zake na sijui yuko consistence kiasi gani ktk kucheki game mi nadhani asii ishie kusoma Grant au Wenger alichosema acheki game yetu, kama kweli yeye ni MPENZI wa soka kama akina AB-Tichtaz sidhani anaweza kutoa argument kama hizo....labda tuu nikwambie kitu bila refa KUTUNYIMA PENALTI YA WAZI WAZI DHIDI YA RONALDO game na portsmouth robo final ya FA this time tungekuwa tunapiga stori za 1999....treble!!!!, prove me wrong aiseeee!!!

One Love One United!!
 
Then kuhusu Ronaldo still i guess we need to chew him much more before ya kumuuza...SAF knows that thats y anambeba..the boy is brilliant na katufikisha hapa tulipo Manutd jaman lets hold him on....just a bit then tunammwaga kama wenzake akina Becks, Stam et al........!!!
 
Manda, ulikuwa umepotea sana wewe au ndio ulichukua week off kusherekea ushindi?

Kuhusu Saha na Sylvestre muda wao umewadia whether we like it or not....
Giggs, Scholes and Neville nina uhakika hawa wataendelea kuwepo Manchester United mpaka muda wao wa kustaafu utakapowadia, isitoshe kunatakiwa angalau kuwepo na wachezaji wakongwe ili kuwapa muongozo na vitu kama hivyo kwa hawa wachezaji wapya.
 
Back
Top Bottom