Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Game ya wiki hii itakuwa ngumu sana kwetu ,nafikiri GNevile acheze kulia Brown arudi kati na Hargreaves acheze kiungo maana huyo dogo Evans sidhani kama ataweza big match
GNevile sasa keshakuwa fit
Hawa jamaa dawa yao ni kujaza viungo katikati if posible (Anderson,Scholes&Hargeaves) wote waanze
 
Juu patamu jamani, msituangushe waungwana japokuwa matokeo mazuri zaidi kwetu wazee wa mizinga ni draw!
 
Chelsea 1 MANU 1. Good results for GUNNERS as we are on the top of EPL.
 
Chelsea 1 MANU 1. Good results for GUNNERS as we are on the top of EPL.

Hongereniii!!.....You always be at top position, time will come for the winner to be at the top, siwashangai coz even last season mlikuwa at the top till March!

Enjoy!!
 
How many of us were disapointted by the Referee 'pathetic' and silly decisions?, sio siri aloborongo sana na kuharibu ladha ya mechi kabisa.

Forget about maamuzi yake ya ajabu ajabu ambayo kwa kiasi kikubwa yalitu-cost,sijui FA what they were thinking kumpanga refa kama Mark Relay kwenye crucial game kama ile!

A lot of Filimbi!!, a lot of Kadi!...aaghhhh!

Anyway hawa ndio marefa wa UK, coz kuna mwengine jana nimesikia kwenye ligi daraja la kwanza kawazawadia goli Reading ambalo..that never even touches the line...!
 
Ile line up ya Fergie ilinitisha but ni matokeo mazuri kwa United tutaekutana nae sasa atakoma
 
A lot of Filimbi!!, a lot of Kadi!...aaghhhh!
Mkuu kama mtu hujaangalia ile mechi, ukaangalia takwimu peke yake unaweza kuamini kwamba Man walicheza ki-rugbyrugby.
 
Mkuu kama mtu hujaangalia ile mechi, ukaangalia takwimu peke yake unaweza kuamini kwamba Man walicheza ki-rugbyrugby.

Sure dude!
Ila time will come tu lets wait.....naona kijana Ronaldo ashafungulia tayari mvua za Magoli jana kwa Mido's, lets hope kwamba Bolton watakuwa na wakati mgumu sana this weekend, lets wait and see!
 
Naona vijana wameaanza kurudi taratibu,it was a good performance from the lads ingawa my observation kwa Manutd tukishambulia sana huwa tunapata wakati mgumu kufungu mabao.

Rob Stlyes was a bit hush kutupa penalti lakini kwangu mimi ilikuwa 50/50, naona ailikuwa natulipa fadhila mara baada ya kutunyima Penalti 4 last season kwenye mechi yetu na Mido's.

One Love.. .....One United!
 
Leo ni kutoa dose nzito ,to prove kuwa tumeanza msimu
 
610x.jpg
 
Lemmie rain on this party.
Naona mumefufuka sasa...wazalendo kweli!!!
 
Lemmie rain on this party.
Naona mumefufuka sasa...wazalendo kweli!!!

Hujakosea...wazalendo zaidi ya Mwalimu na Uzalendo wake kwa TZ....!

Unajua tukianza 'we dont stop' ?...
 

Ab mbona tupo hapa daily? Au hilo vazi lako la kivita linakuzuia usituone?

Nambie mkuu Roya Roy,

Nakubali mpo lakini sio kwa makali kama awali...nd'o maana nikasema eti
mumefufuka.Nakumbuka kabla ile ngoma kati ya Man U na Chelsea, mwenyewe
nilikua na wasiwasi kua mkitupiga bao, patakua hapatoshi!!!....phew,
mwenzio nilisifia draw na unbeaten record yetu ndani ya 'homegraundi'.

That said, msimu bado mapema, so lets fasten them seat belts.
 
Hujakosea...wazalendo zaidi ya Mwalimu na Uzalendo wake kwa TZ....!

Unajua tukianza 'we dont stop' ?...

Nd'o hapo sasa inabidi mwenzenu nikiingia humu niwe kama
na nyatia nyatia vile...kwi! kwi! kwi!
 
Back
Top Bottom