Jumlisha timu zote za London na makombe yao yote waliochukua bado hawawezi kufikia record ya manchester au Liverpool.
 
...nilikua napitia kutoa salaama aleikum nikakuta mumeshinda
World Cup ya vilabu...congrats kwenu jamani(..japo sitaki kuisema..mmmmh!!)
Asante Ab-T,
Si unajua mwenye nacho huongezewa? Hope pia utakua tayari kutoa pongezi zako ifakapo may, the day has just begun.
Jumlisha timu zote za London na makombe yao yote waliochukua bado hawawezi kufikia record ya manchester au Liverpool.
Jamaa hawataki kuona yaliyo wazi mbele yao..and let them wait for may
 
Congrats MANU! Lakini babu yenu SAF naona anazeeka vibaya kwa kumfananisha Ronaldo na Pele na Diego Maradona. Ronaldo ni mkali kwa kiwangi fulani, lakini kumuweka kundi moja na Pele au hata Maradona ni usanii wa hali ya juu. Labda anampaka mafuta ya mgongo abaki MANU na kutosaini na Real Madrid.
 
Kweli

Kile kichapo mbona cha kawaida tu mkuu!, at the end of the day mtatukumbuka kama washindi wa EPL wa 2008/2009 na sio Ze Gunnaz walitugeuza huku na kule, refer season ya 2006/2007 si mlituchapa huku na kule...ila HATMA yake ikawaje?

By the way ni kweli safari ya Japan kwa namnamoja au nyingine itatuathiri ila kumbuka tuna BIG SQUAD!, so that is not a Big deal kwetu, kuna akina Manucho, Wellbeck, pia kumbuka duru la pili fixtures zinatupa Ka ahueni sie!
 
Dear JF Manutd Fans!
On Behalf of Manutd Team Mgt, SAF, Capt. Gary Nevile, Heaton, De Sar, Evra, Hagro, Rio, Brown and Ronaldo. Anderson, Berbatov, Rooney, Giggs, Foster and Park. Pugh, Vidic, Carrick, Nani, Scholes and Wellbeck, i would like to adress my sincere wishes for the new year 2009, let it mark the prosperity to anything we do. From the Club point of view let it mark the retaining of two trophies, CL&PL, and welcoming new other silverwares in our closet, notably the FA and Carling Cup....

One Love....One United....United for Life!

David Gill
CEO-Manchester United, 27th December, 2008
 

Boro washakula kichapo....get prepared (Bluz+Liva) wenye kikombe chao waja.
Happy 2009 every1.
 
Mzee mpya wa complain (Rafa B) ashakula droo yake, then kazi ya SAF ni kushinda leo ili ndo ianze kukaribia OT.
Later.
 
Tukishinda viporo vyetu tunarudi kileleni
Benitez kaanza kuchanganyikiwa
 
Tukishinda viporo vyetu tunarudi kileleni
Benitez kaanza kuchanganyikiwa

upo sahihi kabisa, tutacheza mechi 3 kabla Liverpool hajacheza mechi nyingine. Tukishinda mechi zote 3 tutachukua uongozi wa ligi na ndo itakuwa safari moja kwa moja.
 
Haya bado saa moja tu kabla ya kindumbwendumbwe cha Chelsea na MANU. Sisi tunataka kuona sare tu katika mchezo huo ili kusiwe na gap kubwa kati ya mshindi na sisi, nadhani pia sikosei nikisema kwamba L'pool pia wanaomba iwe sare.
 
Refa wa leo ameonyesha mapema kutaka kutuonea, maamuzi yake yanatatanisha mno. Hawa Chelsea wameanza kuhonga marefa nini?
 
shughuli imeanza: Vidick kaweka kichwa safi. Man U 1 - 0 Chelsea HT.
 
Wakubwa vijana jana wametoa dozi ya uhakika kama kawa Vidic kamuweka Drogba mfukoni
Kusema ukweli PARK JI SUNG ndio mchezaji bora wa MAN kwa sasa ,kamtesa sna JT jana
 
Wakubwa vijana jana wametoa dozi ya uhakika kama kawa Vidic kamuweka Drogba mfukoni
Kusema ukweli PARK JI SUNG ndio mchezaji bora wa MAN kwa sasa ,kamtesa sna JT jana

Unajua wanaposikia SAF akisema ubingwa ni wa Man watu wanadhani anafanya blah...
Jana ilikua best Sunday kwangu kwa muda mrefu.
 
Unajua wanaposikia SAF akisema ubingwa ni wa Man watu wanadhani anafanya blah...
Jana ilikua best Sunday kwangu kwa muda mrefu.

Wanajifanya hawasikii ila kumbe wana-elewa..

Last time nilipokuwa nasema game fixtures za duru la pili zinatupa Advantage sisi this is what i was talking about, for the rest Big 2 teams wasitegemee wataondoka na point or points OT..

Ligi ndio kwanza imeanza na wasithubutu tukalie usukani pale juu. Fate will prove me am right.
 

Wazee wa trafford kongwe naomba mnifahamishe, mechi dhidi ya wigan athletics ilikuwa jana au inapigwa leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…