Manchester United (Red Devils) | Special Thread
mbona Mascherano anaonekana more settled Liverpool kuliko Tevez?

Mascherano katulia sababu namba yake hana mshindani tangu MOMO SISOKO ameondoka
Hata hivyo Mascherano msimu huu hakuna kitu hapo Midfilder amebaki ALONSO mshukuru Benitez hakumuuza
Tevez anagombania namba na Rooney na Berbatov
 
Last edited:
kimoyo moyo nadhani Tevez anajutia kutokuja Ze Gunners wakati ule
Aje ARSENAL kuna nini hapo,huyo Mzee wenu anavyopenda ubahili atamweza TEVEZ
Nadhani Wenger ndio anajuta hata RONALDO alimkosa kwa ubahili wake na mkizubaa hata huyo ARSHAVIN mtamkosa

Kuja Man U TEVEZ kabeba
PREMIER LEAGUE
UEFA CHAMPS LEAGUE
CLUB WORLD CUP

Huko hata hamna uhakika wa kuqualify champs league
 
...ha ha ha, ...mzee wetu AW mtu wa bajeti kali, tunasikilizia tu hii Credit Crunch itavyoanza ku affect wachezaji na mishahara yao. Unayo habari hii?;

AIG ends Man Utd sponsorship deal

AIG has received a big cash injection from the US government
The troubled US insurer AIG will not be renewing its shirt sponsorship deal with Manchester United that expires in May 2010.

AIG agreed to pay £14m-a-year for four years for the shirt sponsorship and also has a longer £5m-a-year deal to run MU Finance.

It is currently restructuring itself, having received a $150bn (£109bn) bail-out from the US government.
source;BBC NEWS | Business | AIG ends Man Utd sponsorship deal
 
AIG ends Man Utd sponsorship deal

AIG has received a big cash injection from the US government
The troubled US insurer AIG will not be renewing its shirt sponsorship deal with Manchester United that expires in May 2010.

AIG agreed to pay £14m-a-year for four years for the shirt sponsorship and also has a longer £5m-a-year deal to run MU Finance.

It is currently restructuring itself, having received a $150bn (£109bn) bail-out from the US government.

Mbu kuna kampuni nyingi na kubwa tangu mwaka jana walikuwa wanalilia deal ya kuwa SPONSOR wa MANU
Kinatoka kitu kinaingia kitu
 
issue ya sponsor haiwezi kutuumiza kichwa hata siku moja, nani asiyetaka kutangaza bishara yake kupitia club bingwa wa England, Europe na dunia?

Nadhani waarabu wa Emerate watakuwa wanajilaumu kumwaga mipesa Arsenal, heri zingikwenda Aston villa au Everton.
 
...ha ha haa...
 
FA Cup

Full-time Manchester United 2-1 Tottenham

but i am not convinced they Man U played. Timu yetu inadorora jamani huyu mzee SAF awe makini. Hakuna cross, uwezo wa kucheza mtu na mtu zero, long pass zote zinapotea, ukabaji hakuna nk. Kama wataendelea hivi tujiandae kupoteza ubingwa PL. Anyway, mwaka jana walitutoa hawa spurs, sijui tutapangiwa nani next round.
 
...ha ha ha, najua deep-down unaombea tusikumbane, Man U Vs Gunner!
 
FA Cup

Full-time Manchester United 2-1 Tottenham

but i am not convinced they Man U played. Timu yetu inadorora jamani huyu mzee SAF awe makini. Hakuna cross, uwezo wa kucheza mtu na mtu zero, long pass zote zinapotea, ukabaji hakuna nk. Kama wataendelea hivi tujiandae kupoteza ubingwa PL. Anyway, mwaka jana walitutoa hawa spurs, sijui tutapangiwa nani next round.

Uzuri wa Man Utd ndio huu. Thread yetu hailali njaa weekend. Sanaaaaaaaaaa tuu Wakuu Nziku na Belo.
 
Arsenal hatuwataki last season FA tuliwapiga 4
 
but i am not convinced they Man U played. Timu yetu inadorora jamani huyu mzee SAF awe makini. Hakuna cross, uwezo wa kucheza mtu na mtu zero, long pass zote zinapotea, ukabaji hakuna nk. Kama wataendelea hivi tujiandae kupoteza ubingwa PL. Anyway, mwaka jana walitutoa hawa spurs, sijui tutapangiwa nani next round
Nziku ngoja nitofautiane nawe kikosi cha jana kilikuwa
Foster,Nevile,Fabio,Oshea,Vidic,Carick,Wellbeck,Scholes,Berbatov,Tevez,Ronaldo
Defence ilicheza vizuri except uzembe wa Vidic uliosababisha goli,
Tulikuwa na tatizo la winga Welbeck ni Striker but alicheza kulia na CR7 now kila game anachemsha bora angecheza Park na mashambulizi ya pembeni yanaanzishwa na Evra ambae kwa sasa ni majeruhi
Kwa sasa winger bora ni JS PARK
 
Yule winger mpya TOSIC ameonyesha matumaini
 
Yule winger mpya TOSIC ameonyesha matumaini

sure yule dogo anaweza kuwa mchezaji mzuri sana. Wellback ni mchezaji mzuri kwa kujituma, kutuliza vizuri mipira ya pembene tatizo hatoi cross. Ron kwakweli anahitaji mabadiliko, vinginevyo itabidi aanze kukosa namba. Kwa mechi ya jana viungo wa kati walilegea sana. Ninaisifia defense ipo strong japo iliruhusu goli.

Tatizo langu ni kushindwa kukaba, kushinda kumiliki long pass na kushinda kuvuruga move za wapinzani. Well said, we miss Evra, gap lake halizibiki.
 
Wellback ni mchezaji mzuri kwa kujituma, kutuliza vizuri mipira ya pembene tatizo hatoi cross.
Mkubwa huyu dogo ni Striker wa kati na sio winger ndio maana hata krosi haziwezi
Kuhusu kukaba hiyo kazi anaweza FLETCHER but alichelewa kuingia
Nafikiri mlimuona TEVEZ jana alivyokuwa anahaha uwanjani naamini jamaa kweli anataka kubaki
 
True, maybe Tevez was the man of the match. Hapo Mkubwa nimekuelewa maana nilikasirika kabisa jana, japo nilifurahia ushindi. Watani (Arsenal) wamedraw leo sasa wanasubiri marudiano.
 
Timu iko vizuri sana msimu huu.Ronnie bado mechi nyingi huwa kama hayupo. Haoneshi ule uchu wa magori, hakabi na mara nyingi utamwona akiguswa kidogo tu anajiangusha.

Big up to Berbatov. Anacheza vizuri sana hasa umiliki wa mipira na krosi zake safi sana.

Pengo la Evra naliona sana. O shea hachezi vizuri, hajui kukaba
 
...😀 te he he... washabiki wa timu hii mnaniacha hoi kweli!
 
Back
Top Bottom