Wakubwa MANUCHO amesajiliwa na Hull City kwa mkopo hadi mwishoa wa msimu akapate uzoefu
Leo ndiyo siku yetu ya kuanza kushika uongozi wa ligi, na endapo kesho Liver watalala au kutoka sare pale Anfield kutukuta itakuwa ngumu sana kwasababu bado tutakuwa na mechi moja mkononi.
...bahati mbaya, utabiri wa mezani si sawa na ukweli wa uwanjani 🙂 unajua kwa nini Nziku?
...Nemaja Vidic na Rooney ndio wafungaji wenu kwa sasa, Rooney hayupo, magoli yenu Man U sasa mtegemee pressure ya mipira ya set-pieces.

Mkuu Mbu upo?
Kuna vitu vingine wala huhitaji scientific proof kujua kama viatokea...
Huhitaji test tube, huhitaji retort stand, huhitaji bunsen burner wala huhitaji reagents kama Sulphuric Acid au Nitric Acid ku-prove kama ni kweli...
Huhitaji kuambiwa mara mbili mbili kama Manutd watatetea kikombe chao msimu huu..
Huhitaji kuombwa/kushawishiwa kuwa Manutd Fan, fomu za usajili zipo...
Karibuni!
One Love One United!
Please Fergie dont sell TEVEZ
...mnh! mnakelele nyie....!!!
Huyu Mzee wetu sijui anamatatizo gani na Tevez. Anachotakiwa kufanya ni kumsubiri kama anahamu ya kuuza basi asubiri Owen apone na awe fit.
Please Fergie dont sell TEVEZ
Huyu Mzee wetu sijui anamatatizo gani na Tevez. Anachotakiwa kufanya ni kumsubiri kama anahamu ya kuuza basi asubiri Owen apone na awe fit.
Hata mie simuelewi Mzee wetu huyu, kwa sasa sidhani km tuna haja ya kumuuza Tevez.