Ukiongelea uwezo wa Fergie.....hivi ni nani mwenye uwezo wa kuchukua mikoka yake pindi atapoondoka (i believe it cant be very far, may be in couple of years)? Kupata replacement ya legend kama SAF ni ngumu sana.Who is greater than SAF?
Mark my words fellas
Atachukua mikoba Roy Keane-Ukiongelea uwezo wa Fergie.....hivi ni nani mwenye uwezo wa kuchukua mikoka yake pindi atapoondoka (i believe it cant be very far, may be in couple of years)? Kupata replacement ya legend kama SAF ni ngumu sana.
Words marked pal.
I think you and Manda are in the same wavelength but I think Man U walimwandaa Carlos Quiros kwa muda mrefu tu.Atachukua mikoba Roy Keane-
Hii combination ya Rooney, Tevez, Park na Anderson inatisha mno, duh! Man U ni tishio kwa kila timu...
Fulham wanashauriwa wasisikitike sana, kwani wamefungwa na football machine na sio football team.
Sijui hivi sasa Morinho ana hali gani.....🙂
...kipigo cha kwanza cha Man U msimu huu ni jumatano mtapotolewa nje ya CL na Inter Milan. Matokeo mengine ya kufadhaisha yatafuatiwa, ....you wanna bet?
...?...?...?
Mind the Gap between today and Wednesday!!!
ulitabiri lini ukawa sahihi? ... asiyekubali ukweli...
kipigo cha kwanza cha Man U msimu huu ni jumatano mtapotolewa nje ya CL na Inter Milan.
...?...?...?
I think you and Manda are in the same wavelength but I think Man U walimwandaa Carlos Quiros kwa muda mrefu tu.
Ili kuwa na smooth transition kutoka kwa SAF kwenda kwa yeyote awae, basi ni muhimu huyo mtu akakaa na SAF kwa muda fulani (i think for at least a year)....may be its hightime kwa Man kumweka Keane katika benchi lake la ufundi.
...kipigo cha kwanza cha Man U msimu huu ni jumatano mtapotolewa nje ya CL na Inter Milan. Matokeo mengine ya kufadhaisha yatafuatiwa, ....you wanna bet?
...?...?...?
Mind the Gap between today and Wednesday!!!
Kama jina lko lilivyo, Inter Milan ni kama Mbu, na Manutd ni kama Net vile then si unajua Bro kelele za Mbu....net?
...