Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Who is greater than SAF?
Ukiongelea uwezo wa Fergie.....hivi ni nani mwenye uwezo wa kuchukua mikoka yake pindi atapoondoka (i believe it cant be very far, may be in couple of years)? Kupata replacement ya legend kama SAF ni ngumu sana.

Mark my words fellas

Words marked pal.
 
Atachukua mikoba Roy Keane-
 
Benitez kitu kinachomshinda ni usajili na jinsi gani ya kuwatumia wachezaji alichemsha sana kumuuza Sisoko sababu ya LUCAS bado anaendelea kumpiga benchi BABEL
 
I back Mark Hughes for Fergie replacement Roy Keane needs more experience
 
Atachukua mikoba Roy Keane-
I think you and Manda are in the same wavelength but I think Man U walimwandaa Carlos Quiros kwa muda mrefu tu.
Ili kuwa na smooth transition kutoka kwa SAF kwenda kwa yeyote awae, basi ni muhimu huyo mtu akakaa na SAF kwa muda fulani (i think for at least a year)....may be its hightime kwa Man kumweka Keane katika benchi lake la ufundi.
 
Hii combination ya Rooney, Tevez, Park na Anderson inatisha mno, duh! Man U ni tishio kwa kila timu. Yaani Tevez leo anaonyesha uwezo wake sahihi.

FA CUP QUARTER-FINALS

Fulham 0-2 Man Utd (half time)
 
Hii combination ya Rooney, Tevez, Park na Anderson inatisha mno, duh! Man U ni tishio kwa kila timu...

...mtawatisha hao hao, kwa ARSENAL breki!!!
 
Dah ManU wanatisha aisee....hongereni sana
 
I Think TEVEZ scores the goal of the season
 
Fulham wanashauriwa wasisikitike sana, kwani wamefungwa na football machine na sio football team.
Sijui hivi sasa Morinho ana hali gani.....🙂
 
Nasikia Mourinho anavizia kibarua hapo OT
 
Fulham wanashauriwa wasisikitike sana, kwani wamefungwa na football machine na sio football team.
Sijui hivi sasa Morinho ana hali gani.....🙂

...kipigo cha kwanza cha Man U msimu huu ni jumatano mtapotolewa nje ya CL na Inter Milan. Matokeo mengine ya kufadhaisha yatafuatiwa, ....you wanna bet?

...?...?...?

Mind the Gap between today and Wednesday!!!
 
ulitabiri lini ukawa sahihi? ... asiyekubali ukweli...
 
ulitabiri lini ukawa sahihi? ... asiyekubali ukweli...

...tasting sourish in d' mouth? pole mkuu, am only ruffling the feathers...'pupwe lina msisimo kwa kondoo mwenye manyoya haba!"
 
kipigo cha kwanza cha Man U msimu huu ni jumatano mtapotolewa nje ya CL na Inter Milan.
...?...?...?

Sijaona mchezaji wa INTER anaeweza kutufunga labda hayo magoli tujifunge wenyewe ,nyie mmepewa hao vibonde lakini mnashinda kwa mbinde
 
I think you and Manda are in the same wavelength but I think Man U walimwandaa Carlos Quiros kwa muda mrefu tu.
Ili kuwa na smooth transition kutoka kwa SAF kwenda kwa yeyote awae, basi ni muhimu huyo mtu akakaa na SAF kwa muda fulani (i think for at least a year)....may be its hightime kwa Man kumweka Keane katika benchi lake la ufundi.

Sure dude!

CQ i guess will be a perfect replacement of SAF, by the way sioni kama atakuwa na future nzuri na Ureno kule aliko, may be in the aftermath of WC-SA the guy will be back soon to OT.

Keane he is not matured enough as far as what he did in Sunderland is concerned, huwezi ukawa kocha afu una nuniana na wachezaji+mwenyekiti wa klabu!

Ila for the time being let SAF continue with his 'resurgent programme'.
 
...kipigo cha kwanza cha Man U msimu huu ni jumatano mtapotolewa nje ya CL na Inter Milan. Matokeo mengine ya kufadhaisha yatafuatiwa, ....you wanna bet?

...?...?...?

Mind the Gap between today and Wednesday!!!

Kama jina lko lilivyo, Inter Milan ni kama Mbu, na Manutd ni kama Net vile then si unajua Bro kelele za Mbu....net?

Yes of coz i wanna bet, weka Jiwe then i put a jewely!
 
Kama jina lko lilivyo, Inter Milan ni kama Mbu, na Manutd ni kama Net vile then si unajua Bro kelele za Mbu....net?
...

...Net? ha ha ha...ni mwendo mdundo kwa 'tom-tom' route finder!

net.gif
 
Back
Top Bottom