Sijaona mchezaji wa INTER anaeweza kutufunga labda hayo magoli tujifunge wenyewe ,nyie mmepewa hao vibonde lakini mnashinda kwa mbinde
Kazi imeanza mapemaa!
GOAL Manchester United 1-0 Inter Milan
...hao muwafunge jingine kabla ya dakika ya 75, Mourinho ana kipaji cha kubadili mchezo baada ya dakika hizo...
Chelsea hawakubebwa? mbona goli alilofunga DROGBA first leg alikuwa offsideTimu za Uingereza zote zimebebwa kwa namna moja au nyengine, isipokuwa Chelski. 
OK faulo ,futa goli la Torez ,Liva3 Madrid 0Liva- Goli la kwanza Pepe kafanyiwa faulo, halafu refa anapeta, wakati jamaa alikuwa last defender.
Mbona walifika kwenye penati wakakosa 2Blankers Arsenal - Refa kawanyima Roma penati live kabisa, safari ilikuwa ndio inawakuta, watoto wa Mr. Bean.
Berbatov kweli alikuwa offside lakini hakuingilia movie au kugusa mpiraManU- Goli la pili, Berba alikuwa offside na alikuwa aki-enterfere the flow of play, kwa sababu kulikuwa na mabeki wanamkaba badala ya Ronaldo. Hata commentator mmoja wa UK alisema wazi kabisa kuwa sheria za offside zimekuwa 'ngumu',
Chelsea hawakubebwa? mbona goli alilofunga DROGBA first leg alikuwa offside
OK faulo ,futa goli la Torez ,Liva3 Madrid 0
Wasingefika hatua ya penati kama refa angekuwa professional.Mbona walifika kwenye penati wakakosa 2
Berbatov kweli alikuwa offside lakini hakuingilia movie au kugusa mpira
OK tufute hilo la RONALDO ,Man 1 Inter 0
Mkubwa kwa sasa timu za Uingereza zipo juu kuliko za Italy na Spain na wasipoangalia huenda tukaona tena fainali ya timu za Uingereza
Kama Berbatov angegusa ule mpira ilikuwa offside but mkubwa hata Mourihno mwenyewe amekiri lile ni goliSio kuingilia move mkuu, jamaa alikuwa anasubiria mpira utue utasemaje alikuwa haingilii move? Sheria za wapi?
Nashukuru kwa kukubali kuwa ziko juu ni kweli ile game ya Liverpool pale Anfield walibebwa na kumbuka Liva walifunga goli dakika zilikuwa zimekwishaOf course zipo juu, lakini kwa raundi hii zipo juu kutokana na kubebwa juujuu na marefa. Hivi unakumbuka gemu ya Atletico na Liva, Anfield
Kama Berbatov angegusa ule mpira ilikuwa offside but mkubwa hata Mourihno mwenyewe amekiri lile ni goli
Nashukuru kwa kukubali kuwa ziko juu ni kweli ile game ya Liverpool pale Anfield walibebwa na kumbuka Liva walifunga goli dakika zilikuwa zimekwisha