Timu za Uingereza zote zimebebwa kwa namna moja au nyengine, isipokuwa Chelski. 
Liva- Goli la kwanza Pepe kafanyiwa faulo, halafu refa anapeta, wakati jamaa alikuwa last defender.
Blankers Arsenal - Refa kawanyima Roma penati live kabisa, safari ilikuwa ndio inawakuta, watoto wa Mr. Bean.
ManU- Goli la pili, Berba alikuwa offside na alikuwa aki-enterfere the flow of play, kwa sababu kulikuwa na mabeki wanamkaba badala ya Ronaldo. Hata commentator mmoja wa UK alisema wazi kabisa kuwa sheria za offside zimekuwa 'ngumu', lakini akionesha jamaa wanabebwa.
Najua wapenzi mtawaka, lakini habari ndo hiyo.