Hongereni sana Man U, lakini jana mlikuwa na bahati zaidi nyie kuliko Inter!
 
Very interesting!

Hivi ktk stage na level kama hii bado kuna watu wana sentiments kuwa Manutd au anyother team huwa inabebwa?

Unless otherwise mimi nilikuwa naangalia ktk Luninga yenye source tofauti, lets be rational and face the reality...'coz at the end of the day no bady will recall kuwa Manutd or any other team walibebwa ila watakumbuka kwa VIKOMBE/KIKOMBE walivyobeba.

Walete Liverpool!!

One Love One United!
 
Very interesting!

Hivi ktk stage na level kama hii bado kuna watu wana sentiments kuwa Manutd au anyother team huwa inabebwa?

Waulize Juve kwanini walipokwa ubingwa na kushushwa daraja.
 

Belo mimi nimeupenda sana huu msemo wako wakukubali na kusema futa hilo goli na still waingereza bado wanakuwa wameshinda Liver ina bakia 3 na Man utd inabakia 1. Tukubali tukatae timu za Uingereza kiwango Babuuuu.
 
Weekend njema mashetani wekundu wenzangu...!!

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=c8Vo7HuCJcg]YouTube - Smell of Victory.[/ame]
 
Jamani kufungwa ni sehemu ya mchezo, au ndo tuseme hamjazoea? Mmekuwa wapole kichizi, hata humu hamuonekani kama kawaida yenu. Its good to see Manure losing for a change. I think your boys got carried away, they were a bit over confident thinking this was the day to 'win' the title, poleni. Game on!
 
Thanks KKN jamaa walistahili ushindi,naamini hiki kipigo kitatuamsha kwani naona wachezaji walikuwa wamebweteka sana
 

A humiliating defeat indeed! Has not happened in 17 years!
Leo nimeamini "siku ya kufa nyani miti yote huteleza"
Na ferguson naye vipi, angewaweka scholes, giggs and berbatov, badala ya teves, anderson na park ji sung! au mambo ya majuto ni mjukuu!
 
No excuses!

Tumechezea kichapo FULL STOP!..

Turudi tukajipange upya.
 
No excuses!

Tumechezea kichapo FULL STOP!..

Turudi tukajipange upya.
 
hakuna sababu ya kuhuzunika: Mechi ya leo ni moja ya ushahidi kwa nini Liverpool, inashindwa kuchukuwa ubingwa wa ligi kuu ya England kwa miaka 18 sasa: Wanaangalia zaidi kushinda mechi moja moja dhidi ya vigogo ili kufurahisha fans wao kuliko kuwa na mikakati makini na mahesabu kuchukuwa ubingwa. Kwa mfano Msimu huu Man wamefungwa na timu vigogo tu, yaani Arsenal na Liverpool, lakini siyo zile vibonde ambazo ndizo za kujichotea pointi.

Liverpool imefungwa na timu vibonde tu msimu huu -- M'Borough na Spurs na kutoka sare na timu nyingine 10, nyingi zikiwa vibonde. Kuchukuwa ubingwa siyo kuifunga Man au Chelsea tu (ingawa ina raha yake hasa kwa fans). Kuchukuwa ubingwa ni namna ya kuweka mikakati ya vipi kujilimbikizia pointi katika mechi 38.

Kila msimu kuna mashindano manne yaani PL, CL, FA Cup na carling Cup, lakini inavyoelekea hawajui priorities zao na in the end hutoka kapa kila baada ya msimu. Bila shaka mashindano kama vile FA Cup na Carling yanawachanganya. Hapo ndipo Mzee Fergie huonyesha umahiri wake.

Leo Liverpool wamepata ushindi mnono dhidi ya Man, tena kwao na wataushangilia sana ushindi huo huku wanajua kuwa Man watacheka mwisho kwani sasa hivi kilichobakia ni kila timu kuiombea nyingine ifungwe katika mechi zilizobakia -- kitu ambacho ni mtihani zaidi kwa Liveropool kuliko Man. Kwa mfano Man wanaweza kuafford kufungwa hata mechi mbili kati ya zilizobakia (nafikiria Man City na Arsenal) na bado wakaibuka mabingwa.
 
No excuses!

Tumechezea kichapo FULL STOP!..

Turudi tukajipange upya.

Hahahahaha..sema mhuni mwenzangu?Nilikua napitia tu barazani mwenu.
Naona mumetulia tu mnalamba vidonda!....kulikuaje jana?

..Yaani nacheka tu hapa kwenye PC yangu nikiwaza ushujaa wenu(Roya Roy,Icadon et al)....mpo?

...a dog leaves to fight another day!
 

Mkuu kwa hisani ya nafsi yangu na upenzi wangu kwa Man Utd, NAKUBALI KWAMBA JANA TULIZIDIWA NA KUSHINDWA NA NDIO HALI YA MPIRA FULL STOP.

Mengine nafikiri itakuwa ni kutapa tapa kuukimbia ukweli.
 
Mkuu kwa hisani ya nafsi yangu na upenzi wangu kwa Man Utd, NAKUBALI KWAMBA JANA TULIZIDIWA NA KUSHINDWA NA NDIO HALI YA MPIRA FULL STOP.

Mengine nafikiri itakuwa ni kutapa tapa kuukimbia ukweli.

...kwani imekuwaje JAMANI? ...hapa nahisi kama pana simanzi, ...kuna wanaosikitika, wengine wananung'unika, kumetokea nini kwani? ...matokeo yalikuwaje EPL ?

LIVERPOOL Vs MAN UNITED?​
 
he, he, Mkuu Mbu najua unajaribu kuwavuta ndugu zangu lakini hatuna kasumba hiyo. Uzuri wa sisi huwa tunakubalia matokeo Mkuu kwa maana tunajua Soka. Ila sasa watu fudede wakifungwa...............
 
...kwani imekuwaje JAMANI? ...hapa nahisi kama pana simanzi, ...kuna wanaosikitika, wengine wananung'unika, kumetokea nini kwani? ...matokeo yalikuwaje EPL ?

LIVERPOOL Vs MAN UNITED?​

Umeshawahi kuona mtu anajua ishu fulani halafu anajifanya hana taarifa kabisaa! ha ha ha

Hivi kile kichapo cha liverpool dhidi ya man utd hujapata news kweli? Tena big match kama ile!?......

Lazima umefurahi maana na nyie mliikandamiza B'Burn 4-0 jana hiyo hiyo!

Ila PL imekolea sasa!
 
View attachment 3871
"...mwenye shibe hamjui mwenye njaa!",...

arrgghh, nisiwakere sana hawa watani, ilhali mwenyewe nasubiria kuuvuka mto!​
 
Na ferguson naye vipi, angewaweka scholes, giggs and berbatov, badala ya teves, anderson na park ji sung! au mambo ya majuto ni mjukuu!

Scholes na Berbatov I think walikuwa dropped kwa poor perfomance zao kwenye game ya Inter. Huyo Giggs usisasahau kuwa ni mzee so two intensive games ndani ya siku nne is abig ask for him, Fergie had to give him a brake.
 
Scholes na Berbatov I think walikuwa dropped kwa poor perfomance zao kwenye game ya Inter. Huyo Giggs usisasahau kuwa ni mzee so two intensive games ndani ya siku nne is abig ask for him, Fergie had to give him a brake.

Haya mkuu mzee wa Arsenal...ligi itakuwa nzuri MAN U akipoteza mechi nyingine na Chelsea na Liverpool wasipoteze!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…