Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 180
Hongereni sana Man U, lakini jana mlikuwa na bahati zaidi nyie kuliko Inter!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very interesting!
Hivi ktk stage na level kama hii bado kuna watu wana sentiments kuwa Manutd au anyother team huwa inabebwa?
Chelsea hawakubebwa? mbona goli alilofunga DROGBA first leg alikuwa offside
OK faulo ,futa goli la Torez ,Liva3 Madrid 0
Mbona walifika kwenye penati wakakosa 2
Berbatov kweli alikuwa offside lakini hakuingilia movie au kugusa mpira
OK tufute hilo la RONALDO ,Man 1 Inter 0
Mkubwa kwa sasa timu za Uingereza zipo juu kuliko za Italy na Spain na wasipoangalia huenda tukaona tena fainali ya timu za Uingereza
Jamani kufungwa ni sehemu ya mchezo, au ndo tuseme hamjazoea? Mmekuwa wapole kichizi, hata humu hamuonekani kama kawaida yenu. Its good to see Manure losing for a change. I think your boys got carried away, they were a bit over confident thinking this was the day to 'win' the title, poleni. Game on!
No excuses!
Tumechezea kichapo FULL STOP!..
Turudi tukajipange upya.
Hahahahaha..sema mhuni mwenzangu?Nilikua napitia tu barazani mwenu.
Naona mumetulia tu mnalamba vidonda!....kulikuaje jana?
..Yaani nacheka tu hapa kwenye PC yangu nikiwaza ushujaa wenu(Roya Roy,Icadon et al)....mpo?
...a dog leaves to fight another day!
...kipigo cha kwanza cha Man U msimu huu ni jumatano mtapotolewa nje ya CL na Inter Milan. Matokeo mengine ya kufadhaisha yatafuatiwa, ....you wanna bet?
...?...?...?
Mind the Gap between today and Wednesday!!!ulitabiri lini ukawa sahihi? ... asiyekubali ukweli...
Mkuu kwa hisani ya nafsi yangu na upenzi wangu kwa Man Utd, NAKUBALI KWAMBA JANA TULIZIDIWA NA KUSHINDWA NA NDIO HALI YA MPIRA FULL STOP.
Mengine nafikiri itakuwa ni kutapa tapa kuukimbia ukweli.
...kwani imekuwaje JAMANI? ...hapa nahisi kama pana simanzi, ...kuna wanaosikitika, wengine wananung'unika, kumetokea nini kwani? ...matokeo yalikuwaje EPL ?
LIVERPOOL Vs MAN UNITED?
Umeshawahi kuona mtu anajua ishu fulani halafu anajifanya hana taarifa kabisaa! ha ha ha
Hivi kile kichapo cha liverpool dhidi ya man utd hujapata news kweli? Tena big match kama ile!?......
Lazima umefurahi maana na nyie mliikandamiza B'Burn 4-0 jana hiyo hiyo!
Ila PL imekolea sasa!
Na ferguson naye vipi, angewaweka scholes, giggs and berbatov, badala ya teves, anderson na park ji sung! au mambo ya majuto ni mjukuu!
Scholes na Berbatov I think walikuwa dropped kwa poor perfomance zao kwenye game ya Inter. Huyo Giggs usisasahau kuwa ni mzee so two intensive games ndani ya siku nne is abig ask for him, Fergie had to give him a brake.