Manchester United (Red Devils) | Special Thread
bado ngoma draw kwetu na kwenu pia ila advantage kwenu kwa goli la away dak ya 89 hapa na 4 minutes added time
 
goli mbili nyngi mwana dah kuna kazi kubwa pale porto!
 
goli mbili nyngi mwana dah kuna kazi kubwa pale porto!

...halafu ukitilia maanani Villareal na Porto hazijawahi kufungwa nyumbani na team yeyote ya Uingereza miaka nenda rudi! mnh!!!

Mnakibarua kizito wazee, poleni...lakini nadhani mtapita. Kuna haja Rooney na Tevez kuchezeshwa pamoja hizi match za kimataifa... world class strikers!

Garry Neville mpumzishieni jamani, doh!
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 5 (3 members and 2 guests)
Kaduguda, mahesabu

...mahesabu usiugulie peke yako, comment lolote basi angalau uondoe majonzi 🙁
 
...halafu ukitilia maanani Villareal na Porto hazijawahi kufungwa nyumbani na team yeyote ya Uingereza miaka nenda rudi! mnh!!!

Mnakibarua kizito wazee, poleni...lakini nadhani mtapita. Kuna haja Rooney na Tevez kuchezeshwa pamoja hizi match za kimataifa... world class strikers!

Garry Neville mpumzishieni jamani, doh!

There is always THE FIRST TIME and BREAKING THE RECORD; kwa hiyo, bado tumo, mtu muulie kwao ndio mazishi yatakuwa mazuri.
 
Ndio mbeba hirizi wa timu.....

Icadon na wenzako msitegemee mwujiza wa aston vila ureno.....

...ngoja tumsubirie Saikosisi na uchambuzi wake wa leo...
 
...ngoja tumsubirie Saikosisi na uchambuzi wake wa leo...
It is hard but do-able; what man have to do is to beat porto at home, ushindi wowote utatosha, hata kama ni 3-3 kisha tunawatoa kwenye matuta!
Hii beki lakini ya man utd toka juzi ni makenge kweli!
 
It is hard but do-able; what man have to do is to beat porto at home, ushindi wowote utatosha, hata kama ni 3-3 kisha tunawatoa kwenye matuta!
Hii beki lakini ya man utd toka juzi ni makenge kweli!

mnawahitaji Ferdinand, Vidic, na Rafael wawe fit...!
 
Kweli Kuna upungufu mkubwa kwenye beki ya Man kama lile goli la kwanza yaani mpaka nilitamani kutoa chozi beki anampa forwad amalizie dah afu la pili ndo dah inauma kweli bahat nilikuwa chumban na ugulia kwa ndani leo mashetani hawakuwa kwenye form nzuri especially 1st half..ila mpira unabadilika kama alivyosema saikosis tutaweza badili historia yao nyumbani
 
Tunaenda kuwatolea uko kwao Arsenal mjiandae,Fergie alichemsha jana kumuanzisha striker mmoja kwenye game ya nyumbani na huyo GARRY NEVILE kila siku anafungisha
Wachezaji walikuwa na uchovu kucheza game 2 ndani ya siku 3
Man United ndio timu ya kwanza ya England kubeba Champions League
Man United ndio timu ya kwanza ya England kubeba FIFA Club World Cup
na tutakuwa timu ya kwanza ya England kushinda Ureno
Na tutakuwa timu ya kwanza ya England..........................
Jibu mnalo wenyewe
 
Last edited:
Kama kawaida mnarudia kosa lile lile mshatuwrite off. Ama Fergie bado hajawafundisha?
 
Tunaenda kuwatolea uko kwao Arsenal mjiandae,Fergie alichemsha jana kumuanzisha striker mmoja kwenye game ya nyumbani na huyo GARRY NEVILE kila siku anafungisha
Wachezaji walikuwa na uchovu kucheza game 2 ndani ya siku 3
Man United ndio timu ya kwanza ya England kubeba Champions League
Man United ndio timu ya kwanza ya England kubeba FIFA Club World Cup
na tutakuwa timu ya kwanza ya England kushinda Ureno

Hata mgonjwa wa ukimwi huwa anashauriwa kuishi kwa matumaini kama hivi, good approach T. I!
 
Haya KKN but hata 1999 tulitoa draw na Juve OT but tulienda kuwamalizia huko kwao

Belo ile United ya 99 is probably the best squad Sir Fergie has ever assembled, sidhani kama unaweza kuifananisha na hiki kikosi cha sasa mlichonacho. All in all, ningependa sana tukutane kwenye semi final kwa kuwa naamini Arsenal ina uwezo wa kuitoa Man U, its a bit unpredictable with Porto.
 
Back
Top Bottom