Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Naona imebaki rekodi moja tu kuivunja
Tunaenda kuwatolea uko kwao Arsenal mjiandae,Fergie alichemsha jana kumuanzisha striker mmoja kwenye game ya nyumbani na huyo GARRY NEVILE kila siku anafungisha
Wachezaji walikuwa na uchovu kucheza game 2 ndani ya siku 3
Man United ndio timu ya kwanza ya England kubeba Champions League
Man United ndio timu ya kwanza ya England kubeba FIFA Club World Cup
na tutakuwa timu ya kwanza ya England kushinda Ureno
Na tutakuwa timu ya kwanza ya England......................
Nafikiri jibu mnalo